Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Majambazi yako yanatikisa Kariakoo mida hii, yanatumia piki piki na yanasiraha nzito za kivita, walio eneo la tukio watupe taarifa zaidi.
Yameua mtu mmoja lakini majambazi mawili yaliyokuwa kwenye pikipiki moja yametiwa nguvuni (Jeshi la Polisi lisije kudanganya kwamba linawatafuta-wawili wamekamatwa)
na tayari yalikuwa yamefanikiwa kupora Bank.