Majambazi wamerudi upya, sasa hivi wananyonga hawaulizi

Majambazi yalikuwepo hata kipindi Cha Maghu,tofauti ni kwamba kipindi Cha Maghu,majambazi yalijificha Ikulu,yalipora kwa udhamini wa serikali,TRA,Rejea matukio ya kuvsmiwa maduka ya kubadirisha fedha Arusha

Watu wasio jielewa kama wewe ndio mnarudisha nyumba maendeleo.
Mnadhani kulipa kodi mbaka mbembelezwe wakati unatakiwa ukalipe on time kwa hiyariyako.

Kwenye swala la kodi Magu hakutaka kulemba lemba, wakwepa kodi wote mlipelekea moto sawasawa, hamta msahau milele.

Hapo ulipo unalia huku unacheka mana unafaidi miundombinu yote iliyo wekwa na Magu kwa kodiyako uliyo lipa kwa nguvu.
 
Mawaziri, Wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe na mamlaka ya kutoa amri na kuwaelekeza polisi cha kufanya kwa sababu wengi wao hawana ujuzi wowote wa mambo ya usalama wa raia.

Hiyo pia italipunguzia jeshi la polisi kupoteza muda katika kazi za siasa na kuutumia huo muda kuimarisha ulinzi ambayo ndio kazi yao kuui

Halafu RPC, Mwanajeshi, Askari wa Magereza, Afisa Usalama ndio wanapaswa kuwa wenyekiti wa kamati za ulinzi na usalama za mkoa vivyo hivyo kwenye wilaya.
Hivi hizi maneno za mfumo aka system ni zipi bandugu munieleweshe. Yaan twende Kwa mifano. Kua kuteketeza ujambazi mfumo gani uwepo. Maana naona watu tuko general Sana.
 
Hapa kuna kaukweli lkn.
Na wakifanya hivi unavosema nadhani mkuu wa mkoa itabidi awekwe pembeni. Maana mkuu wa Mkoa then wa wilaya ni kupoteza pesa Tu.
 
Kazi ya Kulinda Raia na Mali zao ni ya Jeshi letu la polisi chini ya Kamanda IGP Siro.

Naamini Jeshi letu la polisi lipo na weledi wake ule ule wa kupambana na uhalifu wa aina zote.

Hawa Majambazi na wahalifu wanataka kulijaribu Jeshi letu la polisi kama lipo au halipo.

ni ukweli usio pingika kuwa mara baada ya Kifo cha Hayati JPM, wapo baadhi ya watu wachache wenye nia ovu kwa nchi yetu wanatujaribu kuona kama tupo imara au tumesambaratika.

kamwe Jeshi letu la Polisi pamoja na vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama visikubali kujaribiwa.
 
Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.

Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.

Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
Hatuja kuelewa ongeza sauti.Eti nini
 
Dawa ya moto ni moto,
majambazi sio watu wakuachwa hai, ukimchelewesha tu, utalia wewe.
 
Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.

Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.

Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
Kwa hiyo unashauri marehemu arudi kutokomeza ujambazi? Nini mantiki ya hii post?
 
mtamkumbuka sana JPM
Chief kifo ni mpango wa Mungu.... sisi wanadamu tufanyeje kama Mwenyezi Mungu ameamua lake....?

ndio maana tunapokuwa viongozi tunaaswa kujenga taasisi imara ili tusipokuwepo zibaki zinajiendesha vizuri kupitia watu wengine......
 
Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.

Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.

Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).

Propaganda za kijinga sana hizo.....Ujambazi ulianza kumalizwa na JK na wengi walikula vyuma hao unaowazungumzia hapa ni wagoni tu.
 
Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.

Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.
Tatizo wabongo mnakaririshwa tu neno mfumo na wanasiasa mmnadhani ni Kama kitu kipya na complex sana, mifumo (system) ipo tayari. Mfumo wa kudeal na uhalifu upo unaanzia kwa jeshi la polisi wanahakikisha ulinzi, kukamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani, polisi pia wanawajibu wa kufanya upelelezi na kuwasilisha ushahidi wa watuhuhumiwa mahakamani. Mahakama ina wajibu wa kusikiliza kesi na kutoa haki kwa mujibu wa sheria.

Changamoto ni watendaji katika hiyo mifumo wasiposimamiwa vizuri wanashindwa kutimiza wajibu wao na kuonekana mifumo haifanyi kazi.

Kiongozi mkuu wa nchi anao wajibu wa kuhakikisha mifumo ya nchi inafanya kazi ipasavyo kwa kusimamia uwajibikaji kuanzia ngazi za juu kushuka chini. JPM alisimamia uwajibikaji wa viongozi katika ngazi zote.
Mifumo inaongozwa na watu ambao wanatakiwa kusimamiwa ili mifumo ifanye kazi ipasavyo.
 
Cha kufanya na cha kuanzia,ni katiba, IGP asichaguliwe na mtu mmoja nafasi ya IGP itangazwe na watanzania wajitokeze kuiomba.na IGP sio lazima awe ni Polisi.

kwamba IGP agombee
na asiwe miongoni mwa polisi,atamwamlisha polisi yupi sasa!!na kwa uzoefu upi alionao??

mnadhani mambo ni rahisi rahisi tu!!!kawaulizeni mawaziri wanaowasimamia watawaambia.
 
Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.

Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.

sisi tunataka ujambazi ukome.

ndio maana magu hatasahaulika na wananchi sababu ya upungasese kama huu,unafikiri kuhusu mfumo huku watu wanaibiwa pesa zao kwa risasi!!!
hakuna lugha jambazi anaielewa zaidi ya risasi,mama mpaka sasa hajaonyesha msimamo wake kwa watu aina hiyo sababu ya umama wake na huruma,wanajaribu.

akifeli tutamlaumu kwa kufeli kuzuia ujambazi sio kuunda mfumo.
 
Hivi hizi maneno za mfumo aka system ni zipi bandugu munieleweshe. Yaan twende Kwa mifano. Kua kuteketeza ujambazi mfumo gani uwepo. Maana naona watu tuko general Sana.
You are very right, many who talks about system seem not to know how one can build a system.

If such a problems vanished within one year, it means we had a way / process which we followed to arrest the setuation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom