Majambazi wamerudi upya, sasa hivi wananyonga hawaulizi

Mtamkumbuka magufuli hata vibaka huku mitaani wanaongezeka kwa kasi.

Siwezi kumsahau magufuli, 2017 kulitokea genge la wapiga nondo watu walikuwa wakilala saa 1 jion.
Ile operation ndani ya wiki moja tu amani ilitawala.
RIP JPM
 
Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.

Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.
hebu tuambie hiyo mifumo labda kama ipi usiishie kusema mifumo tu
 
Mtamkumbuka magufuli hata vibaka huku mitaani wanaongezeka kwa kasi.

Siwezi kumsahau magufuli, 2017 kulitokea genge la wapiga nondo watu walikuwa wakilala saa 1 jion.
Ile operation ndani ya wiki moja tu amani ilitawala.
RIP JPM
aise last week nimeshikiwa kisu nikakabidhi kila kitu
tena sehemu ya wazi kabisa jaman
 
Ni hilo lilikua jukumu lakekuhakikisha polisi wanafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake. Angefanya marekebisho ya sheria kuongeza weledi kwenye jeshi letu.
wewe juha kweli. sheria zipo na nzuri tu ila watu wanashindwa kuzifuata sababu wasinamizi ni weak. nenda mahakamani uko ukaone watu wanavyonyimwa haki zao
 
Jana nilimuoana IGP Sillo akizindua kitabu eti "jinsi ya kuripoti matukio ya uhalifu" Kitabu kabisa? Mtanzania na kusoma vitabu wapi na wapi...bora hivo project wangepewa Bongo muvi au kaka zao wa Bongo flava! JPM amekufa na "mbinu zake"
 
Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.

Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.
Kwani hakukuwahi kuwa na rais nchi hii kabla yake ? Hao wengine walitengeneza mfumo upi ?
 
Back
Top Bottom