Majambazi sita wauawa huko singida

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
420
85
Ni habar zilizo tufikia hv punde zinasema majambazi sita yameuawa huko sekenke wilayani iramba katika mapambano makali na jesh la polisi. Majambazi hayo yalikua na silaha za moto ikiwemo smg iliyokutwa na risasi zaidi ya 100 na mabumu 6. Aidha kati ya majambazi hayo watano ni raia wa burundi na m1 ni mtanzania. Majambaz hayo yamenaswa kwenye mtego wa polisi kwa msaada mkubwa wa polis jamii. Source itv brkng newz.

Bora aisee, walikuwa wanasubiria basi la kuteka au walikuwa wanafanya nini sekenke?

Dah hawa jamaa wameamua kweli kweli, juzi kule home police waliua wengine sita kwenye huu huu mtego wa polisi jamii. Nguvu zingeendelea kuwekwa huuku huku sawa sawia!

Ni habar zilizo tufikia hv punde zinasema majambazi sita yameuawa huko sekenke wilayani iramba katika mapambano makali na jesh la polisi. Majambazi hayo yalikua na silaha za moto ikiwemo smg iliyokutwa na risasi zaidi ya 100 na mabomu 6. Aidha kati ya majambazi hayo watano ni raia wa burundi na m1 ni mtanzania. Majambaz hayo yamenaswa kwenye mtego wa polisi kwa msaada mkubwa wa polis jamii. Source itv brkng newz.

Duh hadi mabomu kweli shukrani ziende kwa jeshi la polisi kwa kazi nzuri

Ni habar zilizo tufikia hv punde zinasema majambazi sita yameuawa huko sekenke wilayani iramba katika mapambano makali na jesh la polisi. Majambazi hayo yalikua na silaha za moto ikiwemo smg iliyokutwa na risasi zaidi ya 100 na mabumu 6. Aidha kati ya majambazi hayo watano ni raia wa burundi na m1 ni mtanzania. Majambaz hayo yamenaswa kwenye mtego wa polisi kwa msaada mkubwa wa polis jamii. Source itv brkng newz.

Hebu tupate data za uhakika toka eneo la tukio, isijekuwa kama ya Zombe na wale wafanya biashara wa Mahenge!!!!!!!

siungi mkono watu kuuawa, hivi jeshi letu la polisi linashindwa njia ambazo wanaweza kutumia kuwanasa waarifu bila kuwauwa? Hii kasumba ndio inayofanya jeshi la polisi kuuwa raia hovyo hovyo. Kuuwa majambazi sio sifa bali ni ukosefu wa maarifa na mipango madhubuti ya kupambana na uhalifu. Shame on you mnaotetea polisi kuuwa majambazi.

Hebu tupate data za uhakika toka eneo la tukio, isijekuwa kama ya Zombe na wale wafanya biashara wa Mahenge!!!!!!!

sawa kabisa kwa nini wasifikishwe kwenye vyombo vya sheria maana huu ni ukiukwaji wa sheria

Polisi kumbukeni hii nchi ina mahakama haya mambo ya kujichukulia sheria mkononi ndo chanzo cha kuumia wasiokuwa na hatia

Mafisadi nao wangeadhibiwa hivyo ingekua safi sana!!

RIP to all of ‘em!!

WAREST IN PEACE ILI IWEJE? HAKUNA CHA REST IN PEACE KWA MIJAMBAZI,USIOMBE HATA KUVAMIWA NA VIBAKA UTAJUA HII MIJITU HAIFAI KUAMBIWA REST IN PEACE INSTEAD THEY HAVE TO GO TO HELL! PAMBAV YANI WAMETOKA HUKO BURUNDI KUJA NA MABOMU YAO KUTEKA WATU HAPA?AAAAGHRRRRRRR

siungi mkono watu kuuawa, hivi jeshi letu la polisi linashindwa njia ambazo wanaweza kutumia kuwanasa waarifu bila kuwauwa? Hii kasumba ndio inayofanya jeshi la polisi kuuwa raia hovyo hovyo. Kuuwa majambazi sio sifa bali ni ukosefu wa maarifa na mipango madhubuti ya kupambana na uhalifu. Shame on you mnaotetea polisi kuuwa majambazi.

Mkuu ingekuwa wameshikwa na bakora au mapanga tungeuliza kwanini hawakushikwa hai..!!
Lakini watu wameshikwa na SMG zenye risasi na mabomu sita unataka washikwe bila kuuwawa....?

hauwezi kumtisha kwa Mawe Adui aliyeshika Bunduki/
ni uchunguzi wa Kisayansi ambao haukufanikiwa/
kama Ng'ombe kula Nyasi halafu anatoa Maziwa/
Fid Q - Propaganda

Kwenye ufisadi hakuna polisi jamii wala taarifa za kiinteligesia?

Ebu fikiri kama poliis wangepewa info hizo watoa habari wanaaambiwa watoe ushahidi. teh teh teh teh . Weye ufisadi nio napoche badala serikali utmia reurces zake kutafuta ukweli wananchi wanaambiwa watahibitishe.

Big up mapolisi kwa kuwarestisha in peace hao majambazi.wangetumaliza sisi wakazi wa singida.tanx alot

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom