Majaliwa: Mheshimiwa Rais, Hongera umeapa vizuri

Majaliwa: Mheshimiwa Rais, Hongera umeapa vizuri

Unashindwa kuelewa kosa la jamaa PM ni nini?? Kampendekeza wa nini kama feeling towards him ni hiyo??

Kukubaliwa asilimia 100, au??
Kuna roho fulani ya kwann??

Manchi za watu, mtu anajiuzulu anajitunzia dignity yake. Kwa watu wenye misimamo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Majaliwa akipewa kazi anaibeba na lawama zake anazibeba

Na amehangaika sana na kampeni akiwa na mama Samia. Lazima apewe shukrani ingawa ndio hiyo ya kuchangamshwa kidogo. Majaliwa ana akili zake...aangalie yaliyo mbele yake aachane na haya mambo madogo madogo
 
Mambo madogo madogo ndio yapi😂😂😂
 
Ila Mh. Majaliwa alitisha sana. Hongera kwa ‘kuapa vizuri’!?? Shida kweli.

It sounds like slay queen anayempa pole ya kujamba Sugardaddy wake
 
For my Views MAJALIWA atakuwa RAIS mtarajiwa next 5 yrs
Uwaziri mkuu ni laana,
Unabeba lawama zote za serikali inayoondoka,
Na mwisho wa siku watu wanataka mabadiliko,
Ndio maana mbali na nyerere, mawaziri wakuu wote kumi waliofuatia hakuna hata mmoja aliyekisogelea kiti cha urais. Hata tatu bora huwa hawagusi!
 
Rais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
Uongozi ni busara na hekima,
Kulikuwa na ulazima gani wa kusema hili mbele ya halaiki?
 
Uwaziri mkuu ni laana,
Unabeba lawama zote za serikali inayoondoka,
Na mwisho wa siku watu wanataka mabadiliko,
Ndio maana mbali na nyerere, mawaziri wakuu wote kumi waliofuatia hakuna hata mmoja aliyekisogelea kiti cha urais. Hata tatu bora huwa hawagusi!
Sas huyu atakuwa RAIS wa Jamhuri.... Relax
 
"Mheshimiwa Rais, hongera sana. Unajamba perfume" - mpenda cheo mmoja.
Rais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri 😀😀😀😀😀😀
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
 
Prof Palamagamba Kabudi - ninaishi wosia watu wawili;

"Usiruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote wala usijiandae kwa cheo chochote. Ukiwaruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote na haswa kama hawana mamlaka ya uteuzi au hawaamui kwa kura zao, utafadhaika na kuishi maisha ya shida. Usijiandae kwa cheo chochote maana ukipata utakua na kiburi na fahari, na ukikosa utamchukia yule aliyepewa na kumfanya adui yako. Kumbe ndio kudra ya mwenyezi Mungu na ndio fungu lake - Baba mzazi rev Aidan Kabudi

"..........Kwa kiongozi yoyote aliyeitwa kuwa msaidizi kama Haruni alivyoitwa kwa Musa JUA KIMO CHAKO, JUA UKOMO WAKO, HESHIMU MIPAKA YAKO"
Kiongozi mkuu hazoeleki na usimzoee, tii, mheshimu, mshauri kwa hekima na kiasi, na akiamua tofauti na ushauri wako usinune. Utekeleze kama vile hukuwahi kumshauri tofauti na alivyoamua. Na akitekeleza kama ulivyomshauri usitoke ukaringa na kutamba hata kwa mke wako au kwa mme wako maana yote ni maamuzi yake" - Cardinal Pengo
 
Binafsi sijafurahishwa na kitendo Cha jiwe kuvujisha faragha za mawasiliano za mwenzie.

Siyo vizuri na ndo Maana ikaitwa "Private message" na siyo "Public message".
 
Back
Top Bottom