Majaliwa: Mheshimiwa Rais, Hongera umeapa vizuri

Majaliwa: Mheshimiwa Rais, Hongera umeapa vizuri

Kabisa
Huku Mtaani Wanasema Bila Fitna Hutoboi
Halafu Ukiwa Unakula Top Layer (Chuzi Lenye Mafuta)
Huwezi Kuwakumbuka Masakala
Umenikumbusha top layer tulivyoligombea secondary moja hivi,ili litumike kuunga tena mandondo......

Maisha bila unafiki au kujipendekeza kwa dunia ya sasa hayapo
 
Siyo rahisi kwa mtu aliyeshika nafasi ya uwaziri mkuu kuwa rais nchi hii. Wamejaribu wengi wameshindwa. Nadhani ni kwasabb wanachafuliwa na lawama na mabaya yote ya kazi ya uwaziri mkuu
Wamejaribu wote bila mafanikio isipokuwa Nyerere na Urais watauota mpaka kesho kutwa
 
".... leo nataka nikupe siri ndogo mheshimiwa rais, sisi uliturudisha kwa imani kubwa haikua rahisi kivile. Tulipoanza nawe ilikua ngumu. Hukuwa unatuona, tulikua tunalia kila siku. Ukimkuta Mpango anasema na uprofesa wote huu.... ukija kwangu nasema eeeh mwaka huu! Lakini na akina Kassim wote hawa. Lakini uliendelea kutunyoosha mheshimiwa... Mheshimiwa tumenyooka! Miaka miwili ya kwanza wa kwanza ule tulinyooka! Wa pili basi tulikua tunateleza tuu. Miaka mitatu iliyobaki tukachapa kazi kwelikweli mpaka ukapata imani na sisi..... Tumenyooka na tumekua walimu sasa. Tunasubiri baraza la mawaziri tutakaloliteua, sisi tutakusaidia kazi sasa... wewe fikiria mengine makubwa lakini sisi tuliotangulizwa tayari tuna uwezo wa kunyoosha wenzetu.
Tutachapa kazi kutimiza zile kurasa 303 tulizozunguka kuzinadi" - Vice-president Samia Suluhu
 
Mnapotosha na kutafsiri mtakavyo ilimradi mpunguze machungu ya kuambulia kura 1M hahahah! Mnakazi sana angalieni 2025 msije mkapata kura 500K.
 
Anayeyeshughulika na mambo ya nje hatakua na mchezo. Atakwenda kuhakikisha kwamba uhuru wa Tanzania unabaki kwamba ni uhuru wa Tanzania, tufanye mambo yetu tukiwa huru. Anayekuja kwa msaada tutampokea lakini sio kwa mengine - Vice President Samia Suluhu
 
Huenda hata sentensi wala haikuwa hivyo, si unamjua tena Mukulu.
 
Back
Top Bottom