Majaliwa: Mheshimiwa Rais, Hongera umeapa vizuri

Siyo rahisi kwa mtu aliyeshika nafasi ya uwaziri mkuu kuwa rais nchi hii. Wamejaribu wengi wameshindwa. Nadhani ni kwasabb wanachafuliwa na lawama na mabaya yote ya kazi ya uwaziri mkuu
Usikariri hata marekani walisema hivohivo huko nyuma lkn mwaka huu imekuwa sivyo.
 
Kabudi kasema "mheshimiwa Mungu" badala ya mheshimiwa Rais!
Akajishtukia akabadili!
Nidhamu ikipitiliza unakuwa uoga na si nidhamu tena!
Nitapata wapi hiyo clip ya Kabudi? Msaada tafadhali, ili ifanikishe kazi moja ya kitafiti
 
Eti Majaliwa sifa yake akitumwa anakwenda!

Hivi bosi wako hata awe ni Afisa Kilimo wa Wilaya akikutuma hufanyi ?
 
Rais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri 😀😀😀😀😀😀
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
Aibu kabisa, kwani kuna kuaapa vibaya?
 
Rais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri 😀😀😀😀😀😀
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
Nchi hii clique yote pale juu ni kama misukule hakiyanani!
 
I like mwl Kassim Majaliwa. Ni smart na ni mtendaji. Hana makuu kibiri wala majivuno. Mungu mbariki
 
Rais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri 😀😀😀😀😀😀
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
Mwanaume mzima unajipendekeza kisa cheo
 
Siyo rahisi kwa mtu aliyeshika nafasi ya uwaziri mkuu kuwa rais nchi hii. Wamejaribu wengi wameshindwa. Nadhani ni kwasabb wanachafuliwa na lawama na mabaya yote ya kazi ya uwaziri mkuu
Mbona hawakatai hicho cheo sasa?
 
Back
Top Bottom