Tetesi: Majaliwa anapigwa chini kiujanja

Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Ongeza bia .

Chakuongezea katika Uzi Kama huu NI kwamba Kama hauna kipato na unategemea Ajira ya serikali Basi umbea Kama huu NI hataree muhimu NI husichangie maoni ya Aina yoyote
 
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
MFUMO ndo nani hao?
 
Edo ni exception hakuondoka kwa mema....Sumaye na Mizengo mbona hawakurudi tena?

Imagine Kassim anapita halafu anashinda, halafu anakosa uwaziri
Kila mtu na utayari wake, kwake uwaziri mkuu ni ziada, nani ajuaye furaha yake ni kutumia wananchi kwenye ubunge
 
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Punbuza ushamba na udaku. Majaliwa Katangaz kustaafu na amewashukuru wananchi wa Ruangwa kwa miaka yote 15 ya kuwa Mbunge wao.
kama angehitaji hamna ambaye angemzuia maana hata akiwa Mbunge siyo lazima aje kuwa waziri Mkuu.
 
Atachukuliwa na wazee.. Hii nchi imejaa watu wajinga sana, PM angejikita kusimama na wananchi nadhani angejieweka kwenye nafasi nzuri mno.

Enewei nasikia Jimbo lake hakuna aliyechukua mpaka sasa
Mkurugenzi wa Ruangwa Hotel amechukua Fomu jana
 
Hivi Edo baada ya kukoma kuwa waziri mkuu, aliacha kugombea ubunge kwenye jimbo lake?
Haku staafu, alijiuzuru, na pia hakutafutiwa msaidizi, ambapo kikanuni haipo hiyo nafasi.
Alichelewa sana kung"atuka. Lol
 
Saa sita hii, bado ni mapema sana, huenda baadaye jioni in the late time akachukua na kuijaza kisha kuirudisha fasta
 
Back
Top Bottom