Tetesi: Majaliwa anapigwa chini kiujanja

Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Ni bahati nzuri JF tunatumia majina bandia.
 
Atachukuliwa na wazee.. Hii nchi imejaa watu wajinga sana, PM angejikita kusimama na wananchi nadhani angejieweka kwenye nafasi nzuri mno.

Enewei nasikia Jimbo lake hakuna aliyechukua mpaka sasa
Kusimama na wananchi gani? Chadomo opportunists au wananchi waropokaji?
 
Ukilala hapo sebuleni kwa shemeji kama Baiskel unapata muda mwingi sana wa kuandika stori unazosikia kwenye vijiwe vya kahawa
 
Kwahiyo aache kusimama kutimiza ndoto zake na familia yake,asimame na wewe, PM siyo mjinga kihivyo.

Hata Lissu hapambanii wananchi kama hujui,anapambana kutimiza ndoto zake tu
Kwahiyo wanaenda pale kusimamia ndoto zao? Pumbavu kabisa
 
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Nyie nyumbu hamchoki na mapuuzi yenu ya kila siku? Acha uzushi wa kike, ht asipochukua itakuwa uamuzi wake. We kapuku badala uwaze mambo yako unamuwaza binadamu amekuwa waziri mkuu miaka 10? Huyo hana na hatakuwa na shida maisha yake yote. Fukara km ww badala ufikirie mikakati namna ya kutoka angalia unachowaza, familia zingine zina laana
 
Kwahiyo wanaenda pale kusimamia ndoto zao? Pumbavu kabisa
Kuna inavyo paswa kuwa na kuna ilivyo kulingana na uhalisia. Uhalisia ni kwamba viongozi wengi wa kiafrika na tanzania ikiwemo wanaenda madarakani kutimiza ndoto zao na za familia zao na kwa vizazi vyao vinavyo kuja.

Nenda kule chipukizi uone vitoto vya vigogo serikalini namna vinavyo andaliwa njia.
 
Mwaka huu, mbweha wote wamefunguliwa dirisha la fomu za ubunge ili kurahisha mchakato wa kumpata mgombea urais. Hapa wamebaki watatu na mmoja ndio anatakuwa mgombea.
Kanuni ni moja, aliyechukua fomu ya ubunge marufuku kuchukua ya urais.
 
Alipoteuliwa Biteko alipaswa kujua it's over...kuna namna yoyote atakuwa PM tena? Kama sio, anataka kurudi bungeni kufanya nini tena?
 
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Umecopy na kupaste post ya Sativa na hujatoa credit!!!
 
Haya maneno yako yanaonekana kama mepesi lakini yana uzito flani hivi,ngoja niendelee kufuatilia taratibu...
 
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Mkuu Kina naji hao wenye nguvu hivyo wanaopiga hiyo ngoma
 
Back
Top Bottom