Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,243
Mwambie naomba helaUnatamaniwa na ponjoro wa kinondoni

Katiba mpya haipo, ndiyo inapiganiwa. Hicho kioengele kipo kwenye rasimi ya Warioba, ambayo siyo lazima vipengele vyake yaingizwe kwenye katiba mpya inayopiganiwa.Ila mkuu, hao kina Majaliwa sidhani kama watataka Reforms, maana kwenye katiba mpya kuna pendekezo la ukomo wa mtu kugombea ubunge kuwa vipindi viwili tu. Wakongwe wengi hawawezi kukubaliana na hilo.
Ni sahihi. Mimi nazungumza kwenye katiba mpya ambayo wananchi wanataka, ambapo ni ile rasimu ya warioba. Hata reforms zikifanyika ndio tutataka twende na hiyo, mbunge mwisho vipindi viwili tuKatiba mpya haipo, ndiyo inapiganiwa. Hicho kioengele kipo kwenye rasimi ya Warioba, ambayo siyo lazima vipengele vyake yaingizwe kwenye katiba mpya inayopiganiwa.
Nikukumbushe pia kuwa Kuna katiba pendekezwa ambayo kimsingi ilipitishwa na ccm tu. Namo humo siyo lazima vipengele vyake viingie kwenye katiba inayopiganiwa.
PItia jambobtv, amestaafu siasaJamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Aise kweli bwana katangaza hagombei tenaJamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Dogo acha uponjoro weweHuyu mdada namtamanigi.
🙄😃Ujinga mtupu
Unataka uone post ndio useme anaungwa mkono?
Vijana mmekua wepesi mno vichwani
Mnakula nini aiku hizi?
Hiyo kanuni haipo, labda huko kwenu..Mwaka huu, mbweha wote wamefunguliwa dirisha la fomu za ubunge ili kurahisha mchakato wa kumpata mgombea urais. Hapa wamebaki watatu na mmoja ndio anatakuwa mgombea.
Kanuni ni moja, aliyechukua fomu ya ubunge marufuku kuchukua ya urais.
Andaa kabisa pesa.Siku tukipata Rais Mpya mwaka huu. Nitachinja mbuzi mzima
Wewe gwajima umejificha wapi?Dogo acha uponjoro wewe
Timu magufuli ndani ya ccm ya akina Bashiru Gwajima Mpina na wenzao sasa wanasuka mipango jina la mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar lienguliwe kwenye mbio za Urais, pia hawataki muungano wanataka Tanganyika iwe Nchi huruJamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Wewe hujielewe huna ramani unawezaje kujua chimbo la Habari? Mpaka uwe na Akili kwanza ndipo utajua kuwa ndani ya ccm kuna fukuto kubwa hawaitaki Mama iddy Amin Dada mkoloni kaburu aendelee kutawala TanganyikaMnaleta story nyingi hazieleweki,huwa mnazipata wapi?
Inawezekana kwa Ma super SubMnaleta story nyingi hazieleweki,huwa mnazipata wapi?
PumbaaJamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Dili nyingi hayupo hata bandari hayupo ununuzi wa G55 kwa mbowe kuwa peleka chauma hayupo kwani hataki miradi haramu ya kishetaniSababu za kumkataa? Siamini sana kwamba eti amepigwa pin. Nchi hii hii? Kwenye ulaji?
Wamnyime tu ila asije chademaJamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Abas Tarimba mfitini wa Gwajima na chawa wa Abdul hapati ubunge tena laana ya waumini wa kanisa la Gwajima zimeshamnasa ponjoro hana pa kupita tenaUnatamaniwa na ponjoro wa kinondoni