Hajang'atuka, ameng'atuliwa,Haku staafu, alijiuzuru, na pia hakutafutiwa msaidizi, ambapo kikanuni haipo hiyo nafasi.
Alichelewa sana kung"atuka. Lol
Staiili Ile Ile ya Mgogo.
Hajang'atuka, ameng'atuliwa,Haku staafu, alijiuzuru, na pia hakutafutiwa msaidizi, ambapo kikanuni haipo hiyo nafasi.
Alichelewa sana kung"atuka. Lol
Kuna sehemu nimesema kustaafu????Haku staafu, alijiuzuru, na pia hakutafutiwa msaidizi, ambapo kikanuni haipo hiyo nafasi.
Alichelewa sana kung"atuka. Lol
Katibu wa maccm mkoa wa Lindi amesema, Majaliwa kamwambia kuwa hatagombea ubunge tena. Kwa Majaliwa hatchukuwa form leo.Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Bi kizee nafasi hiyo kamuekea Mwijaku, we Kuongea huweziMwaka huu mimi Ponjoro wa Kinondoni ndiyo waziri mkuu wenu kenge nyie.
Za vijiweni au sioUkilala hapo sebuleni kwa shemeji kama Baiskel unapata muda mwingi sana wa kuandika stori unazosikia kwenye vijiwe vya kahawa
Mkuu Waziri mkuu siyo mzee kivile kama Wasira au Kinana.Apumzike ziingie damu changq
Kwani ubunge lazima awe yeye
Ulimjibu kwa dhihaka na matusi, haya kamuombe msamaha mleta post!Ujinga mtupu
Unataka uone post ndio useme anaungwa mkono?
Vijana mmekua wepesi mno vichwani
Mnakula nini aiku hizi?
Mkuu na Raisi anatakiwa apewe uwanja mpana wa kuchagua Mawaziri na manaibu Waziri nje ya wabunge yani Waziri mkuu na Mawaziri siyo lazima watokane na Ubunge.Ni sahihi. Mimi nazungumza kwenye katiba mpya ambayo wananchi wanataka, ambapo ni ile rasimu ya warioba. Hata reforms zikifanyika ndio tutataka twende na hiyo, mbunge mwisho vipindi viwili tu
Pm hajawahi kuwa Rais nchi hii.Huyu ashakuwa PM kwa miaka kumi so hawezi teuliwa tena UPM akigombea atakuwa mbunge bakibencha aanze kuulizia maswali yanyongeza ndomana kaona itakuwa noma asigombee asubirie urais baada ya miaka mitano.
So atapewa ubalozi flani hata UN wenye heshma wakati akisubiri kuja kugombea uprezoo 2030.
Kwetu na mamako au ulitaka kusemaje?Hiyo kanuni haipo, labda huko kwenu..
Kuchukua fomu ya ubunge,Kwetu na mamako au ulitaka kusemaje?
Usikariri maisha mambo hubadilikaPm hajawahi kuwa Rais nchi hii.
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.
Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.
Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.
Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.
Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili
Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
SI kukariri, ni utaratibu,Usikariri maisha mambo hubadilika
Ni tamaa tu za ki museveni seveniWaziri mkuu wa miaka 10 fomu ya nini, wakati ana mafao mazito na pensheni nzito kila mwezi ya waziri mkuu mpaka kufa kwake.
Pensheni ya waziri mkuu ni pesa nyingi kuliko mshahara wa mbunge ama waziri wa kawaida