Tetesi: Majaliwa anapigwa chini kiujanja

Kwahiyo aache kusimama kutimiza ndoto zake na familia yake,asimame na wewe, PM siyo mjinga kihivyo.

Hata Lissu hapambanii wananchi kama hujui,anapambana kutimiza ndoto zake tu
Uongozi ni kuwatumikia watu,na sio kwa maslahi
Ni wito kama wito mwingine,ili uwe kiongozi ni lazima kama kiongozi ajue kwamba anaenda kumpambania mtu na sio kujipambania
Ila sasa njaa za viongozi wetu ni 7g
 
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Achukue fomu ya nini? Mawaziri Wakuu wenzie walichukua fomu?
 
Wewe vipi mtu ashaaaga
 
[QU OTE="Rabbon, post: 54298471, member: 664697"]
SI kukariri, ni utaratibu,

Hauwezi kuwa PM kwa miaka kumi Kisha ugombee Tena ubunge uwe mbunge wa kawaida.
Kwani cheo cha Uwaziri Mkuu kutumikia mwisho miaka kumi?
[/QUOTE]
Ndio.
 
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Bangi / Bange ni mbaya sana ngoja niishie tu hapa.
 
PM anajiandaa kuwa mgombea Urais wa chama tawala. Mama atapumzika
 
Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu.

Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI.

Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie akachukue. Ila MFUMO HAUMTAKI.

Tunapoimba REFORMS huu ni wimbo unaotakiwa kuimbwa na watanzania wote hadi maCCM. Tena haya ndio yanapitia kipindi kigumu sana. Kuna udikteka mwingi unaendelea kwenye chama chao.

Hii ndio akili inataka ila Mwili hautaki. Wamempiga CHENGA mwili

Akashi huo huo hata SAMIA analiwa timing kutolewa kabla ya mwezi wa nane
Mkuu,

Ulitaka Majaliwa awe kwenye uongozi kwa niaka mingapi ndiyo uone imetosha?

Mtu kafikia rekodi ya Sumaye kuwa Prime Minister miaka 10 mfululizo, ana nafasi ya kustaafu siasa na kuhudumiwa na serikali mpaka anakufa, unataka aendelee kugombea vyeo vya uongozi tu?
 
Inawezekana PM ndiye atakayekuwa mgombea Urais wa chama tawala. Mama anajiandaa kupumzika
Ukishaanza na "Inawezekana" hapo una ruhusiwa kuweka ndoto yako yoyote bila kuheshimu facts.
 
Ule wakati aliowekewa "Naibu" kwenye ofisi yake ndiyo wakati aliopigwa chini: Naibu akachukua kazi zooote
 
Waache wa uane sijawahi ona kama ana msaada wowote kwa TZ zaidi ya kuchana nyele na kupaka nywele rangi nyeusi

Ila kuna dada yangu mmoja pale UK anampenda huyu mwamba balaa, alinichekeshaga sana siku hiyo
 
Back
Top Bottom