Adriel Vin
Senior Member
- Jun 25, 2020
- 148
- 765
- Thread starter
- #321
SEHEMU YA 12
Tulipoishia…
Hii hali iliathiri sana masomo yangu kwani nilikua siendi class na sichangamani na watu. Nikajikuta naenda kwa wacheza kamali, nashinda huko siku nzima.
Tunaendelea,
Kwa tukio alilonipiga Nelly nilijikuta nimekua mtu wa unsocial kabisaa hadi hapo rafiki yangu mmoja aliponitambulisha kwa girlfriend wake (tumwite Hersy).
Nilijuana na Hersi nikiwa natoka Jogging na rafiki yangu, akanitambulisha kuwa yule ni girlfriend wake. Baada ya kupigwa tukio na Nelly nilikua naenda jogging kila jioni just kupunguza stress na kukaa mbali na watu
Sasa kuna muda Hersy alikua anatoka Jogging anapita jirani na hostel nnayokaa anaenda kwa rafiki yake wanayefanya jogging wote. Tukazoeana hivyo na nilikua nikimpa heshima kama shem na rafiki yangu hakua na shida yoyote.
Kuna siku tunatoka mazoezi ndipo Hersy alinambia kuna dada huwa ananiona tu kwenye simu na yuko lonely, hatoki sana hostel. Akanambia aniunganishe nae tuwe marafiki (alikua akijua sina mahusiano kwa wakati huo)
Nikamwambia sawa, Mara ya kwanza nakutana na huyu dada (tumwite Annabellah) ilikua ijumaa, sikwenda jogging siku hiyo. Nilikua nimekaa pale chini hostel ambako tumeweka kama kijiwe. Alikuja rafiki yangu akanambia naitwa.
Nilitoka nje ya geti na kukuta ni sura 2 za wadada na mshikaji wangu huyo alikua pembeni yangu.
Mmoja sikua namtambua kabisa hadi nilipitbushwa jina lake kama Annabellah.
Kwakweli she was soooo cute (miongoni mwa wanawake 3 wazuri nimewahi kuwa nao kwenye mahusiano, basi Annabellah hakosi)
Ni binti wa Kichaga mwenye shape isiyoumiza na kabarikiwa sura.
Nilitambulishwa na shemeji yangu na mimi nikaishia kusema karibuni ndani.
Tulielekea room kwangu tukiwa jumla wanne, Mimi, Annabellah, rafiki yangu na mwanamke wake yaani shemeji.
Kama unavyojua room za wanafunzi hakunaga makochi (wengi wao). Tulikaa kwenye kapeti la manyoya pale chini tukawa na story nyingi huku tukitazama movie.
Baada kama ya nusu saa, rafiki yangu na girl wake wakasema wanatoka kidogo
NARUDI KUENDELEA