Olivia olivia
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,620
- 3,788
Pole sana,Anza kwenda kanisan acha pombeHabari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo;
1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB.
2. Kazi nimeanza tangu 2012, hivyo nina miaka 9+ kazini.
3. Naishi Dar es Salaam.
4. Nina mke na watoto wanne, mtoto wa nne bado ni kichanga.
5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda, sina kiwanja, sina akiba, bado nimepanga, kodi laki tatu kwa mwezi.
6. Mahusiano yangu na mke siyo mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini bado tunasonga.
7. Mke hana kazi, hana biashara.
8. Nakunywa pombe mara kwa mara.
9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, n.k.
10. Sina gari, nilioanza nao kazi wana nyumba kubwa na magari mawili, moja la mke.
Nahisi nina mkosi, nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale, ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki tano wametoboa mi nipo nipo tu mpaka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
😂😂😂😂😂😂😂Unakunywa pombe, Dar es salaam, huendi kanisani mke na watoto wanne halafu hujui pesa inaenda wapi. No wonder utakufa maskini
Kaka unafanya kazi wapii Wenzako wanaiba na wewe hela yako unakunywa Pombe sasa unataka maisha yabadilike 5M umeifanyaje .Fanya biashara wacha kutumwa kama una msingi fanya biashara zipo biahara nyingi za kufanya,Habari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo;
1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB.
2. Kazi nimeanza tangu 2012, hivyo nina miaka 9+ kazini.
3. Naishi Dar es Salaam.
4. Nina mke na watoto wanne, mtoto wa nne bado ni kichanga.
5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda, sina kiwanja, sina akiba, bado nimepanga, kodi laki tatu kwa mwezi.
6. Mahusiano yangu na mke siyo mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini bado tunasonga.
7. Mke hana kazi, hana biashara.
8. Nakunywa pombe mara kwa mara.
9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, n.k.
10. Sina gari, nilioanza nao kazi wana nyumba kubwa na magari mawili, moja la mke.
Nahisi nina mkosi, nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale, ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki tano wametoboa mi nipo nipo tu mpaka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
Hahaaa sasa hivi ana miaka 41.Unaendeleaje ndugu?
16,000,000 zikaishia kwenye mademu na alcohol?Sikushangai kuna jamaa alikopa milioni 16,alikuja kushtuka ana laki tatu tu,hana alilofanya 😆😆
Kafaidisha wanawake,starehe😆😆
Alete mrejesho bila shaka kafanyia kazi maoni ya wadauHahaaa sasa hivi ana miaka 41.
Jamani jamani 36M? Ulizipeleka wapi sasa, nimekusikitikia sana, mkeo nae hana ushauri kwako au ndio wale wanaume msiowashirikisha wake zenu kwenye issue za maendeleoHuo mkopo ndo vituko kabisa sitaki hata kukumbuka. Nilikopa 36m. Hapo Hela ya LOAN BOARD ikakatwa. Nikabakiwa na 20. Ukiniuliza nilichofanya sijui... Iliisha kiutani utani
Upo mkuu? kitambo sana aisee!Jamani jamani 36M? Ulizipeleka wapi sasa, nimekusikitikia sana, mkeo nae hana ushauri kwako au ndio wale wanaume msiowashirikisha wake zenu kwenye issue za maendeleo
Mkuu nipo, maisha yanatupelekesha hadi JF tunaingia kwa kubeep.......Upo mkuu? kitambo sana aisee!
M 36 ni nyingi sana kama una sehemu sahihi pakuziwekeza , ila ni ndogo sana kama unaenda kujaribu.