Maisha yangu baada ya kufilisika kwenye forex

Attachments

  • IMG-20260727-WA0004.jpg
    IMG-20260727-WA0004.jpg
    376.5 KB · Views: 6
Siri moja ya maisha ninayoifahamu, ukiwa kwenye stress ni vigumu kufanikiwa.

Unatakiwa uondoke mjini, rudi nyumbani recharge your batteries, kisha ugeuke urudi town kutafuta.

Kwasasa ukiwa na hali uliyopo, umetawaliwa na hofu, kila senti utakayopata utaiona ndogo.

Mwanzo ulikuwa unazipata kwasababu hukuwa na strrss, hata kama zilikuwa ndogo, kwasababu hukuwa na mawazo ya kodi na mengine ukawa unazikusanya na positive mind.

Kuendelea kuandika humu changamoto zako kila wakati sioni kama ni jambo zuri, naamini hata huku wapo wenye stress zao pia, though unaweza .pata wa kukusaidia pia any day.

NB. Hiyo monitor nenda vyuoni, madogo wana mikopo. Nenda kawaanzie na 350,000/= ushuke nao taratibu, naamini ukitembelea vyuo vitatu hapa town inaondoka hiyo.
 
Nikitumia mbinu hii nikarudi na hasira kuu
 
Back
Top Bottom