Maisha yananigonga

Maisha yananigonga

Shem lake hebu kuwa Mzalendo basi, hivi kwa kosa gani mpka mnataka kukimbia hili ni jivu tu mnakoenda mtakanyaga moto
 
No, kuna swali haliko sawa.... Go through his post.... hapa hakuna cha kushauri... ni kwambaa atulize akili... anaenda speed ambayo hata dunia haiendi hivyoo.... dunia huchukua siku 365 kuzunguka muhimili wake , wewe unataka izunguke kwa siku 10 maisha haiko ivyoo....
Akiuelewa huu ushauri basi atakuwa hana wenge tena la kutaka kujiua.
 
Iko njia moja iliyo bora kwako. Muamini Mungu, kua na imani naye then endelea na bidii ya kutafuta
 
Endelea kupambana..usichoke kuomba Mungu.
Pole Sana
Sometimes ni lazima Mwamba aelewe maisha ni mchakato na mchakato huwa unachukua time , unaweza ukaenda spidi sana na hili life lakini kama nature yenyewe haijamaliza mchakato wake utarudi palepale tu,
 
Pambana usikate tamaa ipo siku utaishi maisha ya ndoto zako

#bila kuchoka
 
Back
Top Bottom