Maisha yananigonga

Maisha yananigonga

Bora wewe una mshahara, wengine hamna kipato kabisa.Mimi nilipigwa ikabidi nihamishe makazi mkoani kwa muda, najishughulisha na kilimo kdg najipanga kurudi tena mjini.
Mjini kusaka nini wakati pesa zipo kijijini
 
Nafikiria hata nijiue au nikimbilie kusikojulikana, nadaiwa kodi mwezi ujao na sijui nitalipa vipi, kazi nafanya haiwezi kulipa madeni yote, au nimefikiri niachane na mke wangu tatizo ana watoto.

Nishaurini, sifanyi anasa, nimeacha mademu na anasa lakini sitoboa, church naenda, siendi kwa waganga.

Nifangeje jamani?
Usikate tamaa kaza..
Mwanaume kukaza.
 
We fanya lolote unaloona kwako ni sawa,, harmonize anakuambia "umezaliwa pekeako, utakufa pekeako na utazikwa pekeako so usiwaeleze shida zako ukizani ndugu zako kumbe ndo wabaya wako, we komaa mwenyewe" it's up to you.
 
Nafikiria hata nijiue au nikimbilie kusikojulikana, nadaiwa kodi mwezi ujao na sijui nitalipa vipi, kazi nafanya haiwezi kulipa madeni yote, au nimefikiri niachane na mke wangu tatizo ana watoto.

Nishaurini, sifanyi anasa, nimeacha mademu na anasa lakini sitoboa, church naenda, siendi kwa waganga.

Nifangeje jamani?
bidilisha kazi
 
Mi nilichojofunza ktk maisha kila mtu anachangamoto zake anazozijua yeye,mi mda mwingine huwa nakata tamaa kabisa...ukiwaangalia na watu wengine..ndo kabisaaa unaharibu,Cha kwanza usizingatie watu wanakuonaje...
 
Na wale malaika wako ulosema wapo kichwan.

Maisha hayana lelemama wala mchezo ni kupambana asubui jion hakuna kulaza damu, Hakuna wa kumaliza shida zako zaid ya upambanaji wako.
Kumbe una akili sana wee mwanamke. Njoo basi nikuwowe
 
Na wanaokuambia ubeti usijidanganye mzee huko ndo hatari,yan utavurugwa full stress hata chai utakuwa hunywi..from my experience
 
Pole mno! Nichukure fursa hii kukueleza kuwa, siyo wewe peke yako unapitia hayo. Tupo wengi, wengi, wengi sana! Wengine familia zetu ni sisi pekee tuliofika vyuoni, akina dada walishazalia nyumbani, na sasa tupo vyuoni tunapambana.

Niliwahi kuwa na mawazo kama yako ila nikaachana nayo baada ya kupata kumjua MUNGU wa kweli, na kulijua neno la KWELI lililofichwa karne nyingi.

Sasa naona mwanga japo bado nipo chuoni.
Nakukaribisha katika langp jipya la YESU Kristo, si huyu fake anayetumiwa na kutajwa na manabii wengi wa uongo, bali ni yule original aliyekufa na kufufuka siku ya tatu.
 
Back
Top Bottom