Maisha yananigonga

Maisha yananigonga

Tuelekezane
Tatizo lako Kama haupo serious ,taja kipato chako kwa Sasa na Bei ya nyumba unayo lilipia na uko mkoa gani isije kuwa upo mbeya ambako Bei ya chumba double Ni 40000 na misozi juu

Nimekah mbeya na humu ila sihawai sikia mtu analalamika maisha yamemshinda maranyingi Ni DSM ndio kimbembe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Amelifikisha kwenye jukwaa kwa kutaka msaada sasa apa kawambia wanyama boss?
 
Chukua mkeka huo ukosi milion kadhaa.

JamiiForums489721381.jpg
 
No, kuna swali haliko sawa.... Go through his post.... hapa hakuna cha kushauri... ni kwambaa atulize akili... anaenda speed ambayo hata dunia haiendi hivyoo.... dunia huchukua siku 365 kuzunguka muhimili wake , wewe unataka izunguke kwa siku 10 maisha haiko ivyoo....
 
Back
Top Bottom