Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,733
Watakuelewa wachache sana,Kuna mambo yanaonekana ya hovyo ila ni msaada kwa wengi sana, sijajua kwanini wengi wana perception hasi kuhusu betting??


Watakuelewa wachache sana,
Siku ukimuotea![]()
Yani sitak longolongo mim.Hutaki longo longo sio
Upo kwenye payback period, baada ya hapo Mungu atakujaza mahela tena ila usije kurudi uliko tokaNishahangaika Sana,hata pombe sinywi tena Wala mademu
nashukuru kwa heshima uliyonipaIkiwa umesema hivi wewe basi sina budi kukaa kimya na kukubali kutokana na heshima yangu kwako ustadhat bitimkongwe.
Shukran, kabisa mimi naweza kuwa umri wa mama yako au zaidi.Ahsante mno mzee wangu Bitimkongwe. Ni mzee wangu bila shaka kiumri!
Watakuelewa wachache sana,
Siku ukimuotea![]()
huwa ni burudani isiyo kifani..acha mazwazwa waendelee kuiwaza tofauti huku wengine mitaji ya biashara zetu tumeitoa huko.Pole sana mkuu, ni kweli upo kwenye wakati mgumu lakini usikate tamaa... Jipe moyo kama unafanya biashara endelea nayo, omba ushauri kwa namna ya kuboresha biashara yako kama ni mfanyakazi umeajiriwa pia usiache kuomba msaada hapo ofisini kwa muhusika. Maisha ya mwanadamu yamejaa dhiki na tabu kila uchwao. Pole mnoNafikiria hata nijiue au nikimbilie kusikojulikana, nadaiwa kodi mwezi ujao na sijui nitalipa vipi, kazi nafanya haiwezi kulipa madeni yote, au nimefikiri niachane na mke wangu tatizo ana watoto.
Nishaurini, sifanyi anasa, nimeacha mademu na anasa lakini sitoboa, church naenda, siendi kwa waganga.
Nifangeje jamani?
Ni ke wewe mkuu?Shukran, kabisa mimi naweza kuwa umri wa mama yako au zaidi.
yaani ukiona neno 'bitifulani' au bintifulani ina maana ni 'ke' kwa mila zetuNi ke wewe mkuu?