Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,154
- 43,165
Never give up Mkuu, hakuna duniani mwenye maisha mazuri kila mtu ana changamoto na magumu yake lakini anayakabili kwa namna anayoijua, tuliza akili, na amini hakuna kipindi au majira yanayodumu kila kitu ni cha kupita tu.Niliendaga kabla miaka kama kumi huko nyuma ,Sasa siendi tena abadani
Endelea kupambana halafu kama ulikuwa una matumizi makubwa jaribu kupunguza kwa mfano ulikuwa unakula minofu anza kula hata tembele na dagaa ile hela uelekeze kwenye mambo mengine. Usikate tamaa hujui kesho itakuwa vipi
