Maisha yananigonga

Maisha yananigonga

Nafikiria hata nijiue au nikimbilie kusikojulikana, nadaiwa kodi mwezi ujao na sijui nitalipa vipi, kazi nafanya haiwezi kulipa madeni yote, au nimefikiri niachane na mke wangu tatizo ana watoto.

Nishaurini, sifanyi anasa, nimeacha mademu na anasa lakini sitoboa, church naenda, siendi kwa waagnga.

Nifangeje jamani?
Endelea kumtumaini Mungu tu.
 
Back
Top Bottom