October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Mimi ninauwezo wa kutumia 100,000/= kwenye mshahara wa 500,000/= kwa mwezi ila nikioa ni tofauti kabisa kufanyayhivyo maana iyo pesa itakuwa sio yangu pekeangu tena.mi siamini kama kuoa kuna rudisha nyuma maendeleo, ukiwa mwenyewe unakula mgahawani asubuh, mchana , jioni, hiyo ela ya kula mgahawan ukimuachia mkeo apike nyumban mnakula wawili bila shida, labda uoe mwanamke mpenda anasa