HiDEmYiD
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,901
- 3,671
Kula like....kosa kubwa tunalolifanya binadamu ni kujilinganisha na Mtu hapo binafsi naona NI kujitafutia mgogoro mkubwa wa nafsi......naamini katika kupigika kwnza hafu jua la jioni Ndo nyota ianze kung'@a ukipata ela kijana either ufe mapema,utakuja kufilisik(mgogoro wa nafsi mwengine mkubwa sana huu) au uwe mshirikina mzuri Tyu........
Point vijana wawe wavumilivu mafanikio sio Pesa kwan hata Mungu anasema tusisumbukie maisha tuutafute KWANZA ufalme wake hayo mengine yatazdishwa Kama sio kuongezwa kumbuka Kuna Watu wamework hard zaid ya hayo uliyosema lkn hawatoboi abadani
Point vijana wawe wavumilivu mafanikio sio Pesa kwan hata Mungu anasema tusisumbukie maisha tuutafute KWANZA ufalme wake hayo mengine yatazdishwa Kama sio kuongezwa kumbuka Kuna Watu wamework hard zaid ya hayo uliyosema lkn hawatoboi abadani
Jamani tusaidiane hata mawazo..mie nnamini kuondoka mahali ulipo nakwenda sehem nyingine!kubali maisha magumu hata kwa mwaka ...ukijua nn unataka! Wengine tumeacha maisha ya kulala vitandani tunalala chini kwenye vigodoro vyashule..mvua ikija uko on maana unaloa tu..[emoji58]!lakini unatarget unachotaka ww!nenden mikoani huko mkaanze upya..niliwah mshauri sisy..ana miaka dahari dar..hapigi ht hatua...lakini alinijibu vby sana...kwanza ukihama sehem ulozozoeleka ile circle uliokua nayo unaachana nayo...kuna marafiki mnakuwa mnawaza mzichange mkanywee tu!nendeni nje muone vijana wanavyofanikiwa tena vitoto vidoogo!..hata km huna mtaji ww jilipue wanajilipua wanawake sembuse ww men bwana!mie niliondoka moro na nguo3[emoji41]!imagine! Nilipofika vijijin hata zile nguo zilionekana km ni za anasa..nikanunua vitenge viwili..ikawa navaa juu napiga tenge (km mama mchungaji)nilivaa nguo hizo for 2mths!nikawa comfortable tu..yakubali mapema sana mazingira (hii alinishauri ndugu yangu mmoja mtu mzima) jichanganyeni na watu waliofanikiwa muwezavy..hutakosa dodoso zozote zile pakuanza..kubali hata kuajiriwa kwa malipo kiduchu unaposoma ramani!achana na starehe ulizozoea!..
Nendeni mikoa migumu migumu huko ndo kuna fursa!
Mimi niliondka kwangu bila kushurutishwa..nilitaka kuwa na financial freedom..nilifika kule nna buku!sipendag ht kukumbuka!ongea n watu kadri uwezavyo! Sijafika ninapotaka bado! Changamoto ni nyingi na mzipokee tu hakuna jinsi!
Nimejikuta kwenye circle za watu wadogo kiumri kwangu..sasa hiyo ndo inanipa hasira!
Yaani ww ukikutana na mtu alofanikiwa kahatua kamoja mbele yako ww jitahidi awe rafiki yako hutakosa ushauri kwake!achana na kampani mbovu..zile hazikusaidii kitu kbs!be postive!mie ningekuwa na uwezo wa kujigawa ningeweza kurun vitu vingi mno huko mikoani .!nimejikuta nashindwa...nature imeniambia huwez..! Hapa nna mishe 3 lakini had huwa wannionea huruma najionea huruma pia ..Na kwel siwez.(nimesurender).!lakini mambo ya !kufanya mengi sana!..hizi biashara ndg ndg msizidharau kbs..zinawatoa watu..anzeni ht huko..!..
Kuna dogo wa kiume aliajiriwa kuwa mwangalizi wa gest kazi yake ikawa kufua shuka na usafi..ss hv alipo n mbali...anapata hela nzuri tu..ana saloon...he earns a lot of money..alinihadithia alipoanza alikua hohehahe!ss hv anacho cha kujivunia ..nendeni mkalime hata tumbaku huko!unganeni!msibague kazi..kubalini kazi zozote zile mradi halali!(mie nilikabidhiwa jiko niwe mpishi wa kaka zangu sikukataa..nikasema ntapika kwa miez miwili ntatoka hapa)
Pika ht bites uza..ukianza kupika bites naamini kuna kamlango katafunguka tu iwe isiwe! Nuiza kila siku..ukatae umasikini kwa ngv na vitendo!ht km umesoma vip ww fanya kazi zozote!
Alhamudulilah utafika penye kaunafuu!
Mikoani kuna watu wanakamata pesa hawajafika hata std 2 lakini anamilion 100..ss ww umesoma unashindwaje kukompiti naye?kuwa smart tu..
Kubali kudharaurika....mie nilikua mmojawapo...waliniambia ww mwanamke unakuja huku?utakuwa chakula ya wakubwa...wanawake wa mjini wakija huku huwa wanaishia kuuza miili yao..niliumia .nikawa nang'ata had mdomo..nikasema kumbe ndo mnavyotuchukulia eh! Shenzy typ..kwel walinisumbua sana mwanzoni...yaan unaitwa na kitoto kidoogo kisa kina hela..sikuwa najibu mbov nikawa nawazoea nijue wanafanyaje kazi zao..wamefikaje hapo..niliyeona anamsaada nastick naye aliyenichukulia poa nasanda mapema sana! Sasa hv hakuna anayeniita kidharau kbs...!
La mwisho kbs kuwa mstahimilivu! Usiamini maushirikina heshima na watu wote!(ukiwa na heshima utasaidika sana sana) inasaidia sana
Nb!;kaa mbali na mahusiano..iwe wanawake au wanaume!
Akili za alfajiri hizi!