Maisha Yana Maana Gani Hasa?

Wewe una akili timamu.Kuna wakati nilikuwa na hizi fikra kisha likaja wazo kuwa tuseme nimepata kila kitu nnachotaka,kisha nini?
Maisha hayana maana yoyote.angalau kwa wanaoamini kuwa kuna maisha baada ya haya wanaweza kueleweka kwa huu upande.vinginevyo,maisha ni upuuzi tu.
 
Issue ni kuwa tunaishi kama wanyama wakati umepewa utashi na akili za kichakata kila wazo.

Ukweli ni kuwa maisha hayana maana, hata maana tuipayo maisha ni illusion ya kujifariji tu
 
Pia unaweza kuamua kukatisha uhai. Mimi nikiona mtu anataka kujiua wala simzuii kwa sababu kifo ni mapumziko pia.
Wewe acha zako, in the grand scheme ukizaliwa ishi ila jua maisha ni hayana maana. Na hata kama hayana maana kujiuwa ni kujikomoa tu.

Ishi tu ila Usipende kuyafanya maisha muhimu, yaani usiishi kwa matarajio makubwa na huku maisha yenyewe sio infinite
 
Sometimes kukatisha uhai kunasaidia sana. Ukiwa kwenye mazingira fulani ni bora ufe tu kuliko kuendelea kuteseka, ndiyo maana kwenye baadhi ya nchi kama Hispania na Ubelgiji watu kwa ridhaa zao huomba kuchomwa sindano ya kifo (Assisted Dying) na inaruhusiwa kisheria.
 
Those people wanakuwa tayari wameshafikia mwisho so wanaona it's better wafe tu
 
Kwa mda utakaoishi jitahidi tu uishi vizuri kwa namna yoyote ile. Hakuna maisha baada ya kifo.
 
Kuna mambo hatutakiwi kuyafikiria.
Ebu fikiria kuna mtu kahukumiwa kuuawa, kachomwa sindano ya sumu ili afe, baadae wanamtibu apone!
Eti imeshindikana kufa. Sasa kwanini wanamtibu si wamwache afe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…