Kweli hapa siongezi neno!Kwa kipato cha shs 542,000 hutakiwi kulalamika. Kuna watanzania kama 85% ambao wanapata 1/4 ya unachopata (135,000) na wanaishi na familia zao watoto wa3 and above na bado utakuta ana kibanda chake Charambe, Kongowe, Kitunda au Kipate.
Wewe una mke na mtoto mmoja na unatumia daladala unalalamika nini. Nakushauri kuwa na vipaumbele, acha makundi ya starehe kama ulevi. uzinzi then hicho kipato kinaweza kukutoa. Hebu tufanye mchanganuo hapa chini.
Tshs 542,000/=
1. Kodi ya nyumba shs 100,000
2. Chakula nyumbani shs 150,000
3. Chakula kazini shs 60,000
4. Nauli ya dala dala 30,000
5. Mengineyo shs 100,000
Jumla ya matumizi ni shs 440,000 hivyo unabaki na akiba ya 102,000. Ukitunza hii akiba kwa miezi sita unaweza ukampatie mke wake mtaji wa shs 612,000 baada ya miezi sita na mkaanza mkakati wa kununu ka plot Gongolamboto.
Chukua huo ushauri na usirudi kijijini utajuta.
Posted by BLUE BALAA
Kwa kipato cha shs 542,000 hutakiwi kulalamika. Kuna watanzania kama 85% ambao wanapata 1/4 ya unachopata (135,000) na wanaishi na familia zao watoto wa3 and above na bado utakuta ana kibanda chake Charambe, Kongowe, Kitunda au Kipate.

Ukifika wasalimie babu na bibi,waambie umeona maghorofa yanatembea baharini(meli),wazungu magari na ukuta unatoa pesa(ATM)!!Wakuu Maisha ya Mjini yamenishinda, yaani nikiangalia kipato changu na majukumu niliyonayo naona siwezi kabisa.
Maisha kama haya naona afadhali yale maisha niliishi kwa wazazi wangu enzi za mwalimu pamoja na kuwa babangu alikuwa mkulima lakini tulienda shule na tuliishi maisha mazuri.
Mimi sijui wenzangu mnaishije? mnapata haya machungu nayoyaona mimi? nasimama asubuhi kituoni kwenda kazini naona magari yanapita tu huku mmefunga vioo hivi kweli mna matatizo kama yangu kweli? Hivi nyie pesa mnazipata wapi? mbona najiona mpweke katika nchi yangu hii?
Wakuu siyo siri natafakari kama mambo yakizidi kuwa magumu basi nitafute nauli nirudi kwetu angalau huko nitakuwa na uhakika wa kusogeza siku.
Kipato changu wakuu ni Tshs 542,000/- Nina Mke na mtoto mmoja (5), nimepanga nyumba viwili na sebure - Mambo yamegoma kabisa.
Nipeni ushauri nateketea mtanzania mwenzenu.
Pole sana, jaribuni kubana matumizi sana, mwambie wife asione aibu ajaribu kutengeneza hata karanga, aisikrimu au maandazi aweke hapo dukani kwa mangi ili yeye awe ananunua msosi halafu wewe unadili na matumizi mengine.
Muhimu, baneni matumizi acha kuchangia harusi, birthday nk.
I feel ur pain, wengine hapa tunasomesha wadodo vyuo, bado wazee nyumbani yaani acha tu ndugu yangu tupo wengi wala hauko peke yako.
Huku kijijini na mimi maisha yananishinda.
Nataka niuze mahindi nije mjini, mjini kuna nyumba nzuri na magari. Nasikia magari madogo ila yanakimbia hayo. Yakikua makubwa ndio yanazidi kukimbia. Nikiyaona nitahamasika kutafuta vyangu.
Huku kijijini tunacheza na ngedere tu.
Njia nyingine ndg yangu ni kuwa kama ungekuwa umeingia SACCOS uka-save kiasi fulani then ifikie wakati uchukue mkopo kwa riba nafuu uanzishe ka-mradi kadogo kenye kuhitaji mtaji kiduchu. Vinginevyo ungeingia kwenye siasa ili wananchi walio wengi ambao ni walalahoi wakupe kura uingie Dodoma maisha yabadilike. Take a chance. G.day
Tafuta vyanzo vingine vya pesa.
Mshahara wako upo juu zaidi hata ya ule TUCTA inataka serikali ilipe watumishi wake, mapendekezo ya TUCTA ni 350,000/=
Ushauri ni kama ulivyoambiwa hapa bana matumizi,mke apate shughuli ya kufanya,na pia potelea mbali itavyokuwa kataa kabisa kuchangia hizi harusi etc ni mfirisi mkubwa mijini siku hizi
Kwa kipato cha shs 542,000 hutakiwi kulalamika. Kuna watanzania kama 85% ambao wanapata 1/4 ya unachopata (135,000) na wanaishi na familia zao watoto wa3 and above na bado utakuta ana kibanda chake Charambe, Kongowe, Kitunda au Kipate.
Wewe una mke na mtoto mmoja na unatumia daladala unalalamika nini. Nakushauri kuwa na vipaumbele, acha makundi ya starehe kama ulevi. uzinzi then hicho kipato kinaweza kukutoa. Hebu tufanye mchanganuo hapa chini.
Tshs 542,000/=
1. Kodi ya nyumba shs 100,000
2. Chakula nyumbani shs 150,000
3. Chakula kazini shs 60,000
4. Nauli ya dala dala 30,000
5. Mengineyo shs 100,000
Jumla ya matumizi ni shs 440,000 hivyo unabaki na akiba ya 102,000. Ukitunza hii akiba kwa miezi sita unaweza ukampatie mke wake mtaji wa shs 612,000 baada ya miezi sita na mkaanza mkakati wa kununu ka plot Gongolamboto.
Chukua huo ushauri na usirudi kijijini utajuta.
Unaweza kutuambia mwaka jana ulipigia watu gani kura? Usije ikawa ulichagua Kijani na Njano halafu sasa unakataa matunda yake!