kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,866
- 20,940
Acha ukorofi šJaribu kuachana naye sasa,anakujaš¤
Acha ukorofi šJaribu kuachana naye sasa,anakujaš¤
Hana hela umwache!? Anakuua...hela ya kukutunza Hana,ya mtaji uendeshe familia hana....ukisema nirudi nyumbani anakuuaAcha ukorofi š
Mkuu shida nini? Mbona mbususu tunapewa bure siku hizi? Gharama nyingine ni za muhimu ukizingatia uhalisia. Nauli, gharama za faragha, chakula au kinywaji na hela angalau ya kutambua ukweli ya kwamba ukichimba dhahabu usiache mashimo lazima ugharamike kuziba. Kwahiyo, mbususu kwa asili ni ghari ndo maana tunalazimika kuoaHuu mwez haushii kama sijahasiwa ama ikishindikana ntangofua mapumbu kwa sabubu sitaki nipende wanawake
Kijana hakuna kitu kinaitwa baraka kwenye familia kama haujajipanga, ninyi ndio mnasababisha binadamu wasio na hatia wanateseka ktk ulimwengu huu Kwa starehe za hovyo na ubinafsi...Aaaha mkuu muda mwingine familia ni baraka japo ndo hivo
Mkuu unataka kusema maskini hatakiwi kuoa si ndio au unataka kuniambia wote ambao hawajaoa maisha yao ni mazuri??Kijana hakuna kitu kinaitwa baraka kwenye familia kama haujajipanga, ninyi ndio mnasababisha binadamu wasio na hatua wanateseka ktk ulimwengu huu Kwa starehe za hovyo na ubinafsi...
Unaoa ili iweje? Yaani wewe unateseka na bado unadiriki kuleta viumbe duniani washiriki mateso yako! huoni hilo ni kosa? Kwa nini usile tu mbususu za kitaa Kwa kutumia kinga ukaendelea kujichanga?Mkuu unataka kusema maskini hatakiwi kuoa si ndio au unataka kuniambia wote ambao hawajaoa maisha yao ni mazuri??
Mkuu kuna wengine toka tunajitambua tunatafuta hadi wa leo hatujawahi kujipata so kuna muda unakubaliana na maisha yalivyoUnaoa ili iweje? Yaani wewe unateseka na bado unadiriki kuleta viumbe duniani washiriki mateso yako! huoni hilo ni kosa? Kwa nini usile tu mbususu za kitaa Kwa kutumia kinga ukaendelea kujichanga?
Hivi ni kweli kuwa shida haina mwenyewe?Jamaa kaomba buku3 na kapewa hiyo buku3 bila ya kutolea. Kwahiyo kapata buku2 ya kula yeye mke na watoto. Nadhani changamoto hiko kwenye fikra!
Apambane maisha ni struggling
Nipo Moshi mkuuUpo mkoa gani
Shan't TownNipo Moshi mkuu
Hapana huku maeneo ya Sanya mbelembeleShan't Town
Upo NamwaiHapana huku maeneo ya Sanya mbelembele
Hapana mkuu nipo sehemu panaitwa Engare narirobi humu west barabara ya kuelekea sanyaUpo Namwai
Sawa Maeneo Hayo West Nimefika Na Kuoa KabisaHapana mkuu nipo sehemu panaitwa Engare narirobi humu west barabara ya kuelekea sanya