To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,220
- 37,952
Jaribu kuachana naye sasa,anakuua🤭Kwa nini umejiingiza kwenye jukumu zito la kuwa na familia huku ukijua pato lako halikidhi ? Mama wa watu umemuweka ndani na kiumbe(mtoto) possibly si unawatesa bure ?