Maisha yamekuwa magumu mtaani

Maisha yamekuwa magumu mtaani

Tatizo liko hapa kwanini usitafute kitu kimoja ambacho kitabeba utambulisho wako ukifanye hata kama mapato yake ni kidogo.
Hakuna asiependa hayo ila ni unaanzia wapi
 
Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku

Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu

Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
Hamia ccm mamb byeee sana huko
 
Back
Top Bottom