Kwenye hiyo laki hata ukinitumia buku 3 tu inanitosha kwa leo na familia
Mikeka inazidi kuchanika 😀😀EPL imerudi
😃😀😀Weka namba hapa hapa wazi wazii nikutumie iyo buku 3 alafu toa shukrani wazi kwamba umepokea Fanya ivyo chap
Boss naomba mkopoWENGINE SISI TUNASEMA LAKI SI PESA....NDEMBE NDEMBEE 😔😴
POLE NA CHANGAMOTO
Mkuu mbona kicheko jamaa afanye chap hapa nikianza kunywa kinywajii changamshii 😊 namsahau afanye chap chap😃😀😀
Laana ya Magufuli inaendelea kuwatafunaWazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku
Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu
Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
😃😀Mkuu mbona kicheko jamaa afanye chap hapa nikianza kunywa kinywajii changamshii 😊 namsahau afanye chap chap
Kaka buku tatu utu kaiomba mwambie aweke namba chap natumia asichelewe nikianza KUNYWA KONYAGIIII HAPA namsahauBoss naomba mkopo
Keshaweka hapo juu mzee,,Kaka buku tatu utu kaiomba mwambie aweke namba chap natumia asichelewe nikianza KUNYWA KONYAGIIII HAPA namsahau
Ndio, kazi yako inakua kuuza tu.Mkuu umalaya utaufanya bila hela?
Tatizo liko hapa kwanini usitafute kitu kimoja ambacho kitabeba utambulisho wako ukifanye hata kama mapato yake ni kidogo.Sina mishe maalumu mi ukiniita kuna kamzigo kaende sehemu nachukua ukisema nioshe gari lako freshi tu ilimradi nipate chakula ya watoto
Nakuelewa mkuu tutachekianaSina mishe maalumu mi ukiniita kuna kamzigo kaende sehemu nachukua ukisema nioshe gari lako freshi tu ilimradi nipate chakula ya watoto