Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

Status
Not open for further replies.
umempatia, ishu ni umesomea nini

Ishu ni kusoma unachopenda na sio kusoma nini!,Kwa nini uone Civil ndio course bora?,Kwa nini usimshauli kusoma Petroleum,Mechanical or Electrical?.Mimi nachomsihi ni kusoma kile ambacho roho yake inapenda na sio asome kwa kuangalia ajira.
 
DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU HILI..
ASANTENI.
:redfaces:

Ni pm namba yako, nina mwanagu kamaliza degree ya pharmacy, tar 14 kaniambia anarejea Dar pengine anaweza kukusaidia baadhi ya infos.
 
DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU HILI..
ASANTENI.
:redfaces:

Ushauri wangu baki tu hapa nchini nina jamaa angu alienda huko alisoma two yrs akaamua acha chuo akarudi mzumbe kama unaona unamuda mwingi nenda ukatalii lakin ujue kabisa ukirud hapa chamoto utakiona
 
ushauri wangu baki tu hapa nchini nina jamaa angu alienda huko alisoma two yrs akaamua acha chuo akarudi mzumbe kama unaona unamuda mwingi nenda ukatalii lakin ujue kabisa ukirud hapa chamoto utakiona
yeye alikuwa anasoma coarse gani huko?
 
Sina uhakika kuhusu ajira ukisoma huko na hata kama utabaki hap hapa tz ila mm nadhani wengi wao wanaenda ni kwasababu ya kula hela tu, mm ninae mshkaji ni kama mwlim wangu anasma kwa mwaka waweza pata 9 million ata mm lilinivutia kua hela kiasi hicho na nika apply but nlikosa Ila hivi sas ndio naona bora hapa hapa tz,
Sababu kubwa ni hiyo naona!
 
na ni serikali ya tanzania ndo inawapa hizo fedha, haiwezi ikaacha kuwaajiri ikiwezekana eti kisa tu walisoma kwa kifaransa au kireno, kama amesomea ualimu ataajiriwa tu akishapeleka vyeti wizara ya elimu, kama ni daktar pia likewise, ila kama ni financial management labda zile za kupelekwa na BOT tofaut na hapo changamoto kwenye ajira lazima.
 
Waacheni wafate bahati iyo.mimi nilisoma uko medicine nkamalza nina ajira now..mwaka huo huo kuna my frnd nilienda nae ye alikua compta eng nae ana ajira mwaka huo watz tulikua 8 na wote wana ajira kfup cjawah kuskia mtu kasoma uko akakosa ajira hata kama kasoma dgri ya maharage atapata tu.MUACHENI AENDE
 
Mm ngoja nitoe mawazo yangu kulingana na hzo course mbili ulizochaguliwa.
Nina marafiki zangu wengi tu wapo cuba, wengine Algeria, rusia n.k..of course kusoma nje kuna kupa exposure nzuri kwani unajifunza kuishi na watu wa mataifa mengine.

Kulingana na hzo kozi mbili ulizochaguliwa mim kwangu civil engineering is the best kwa wakati huu.. Naongea haya kwa sababu nipo industry ya civil engineering. Computer engineering kwa sasa hivi market yake ipo saturated.. Na vijana wengi pale UDSM CoICT wengi wanalalamika ajira kwenye kozi ya CEIT.
Kwa mchanganuo huo hapo juu ni bora ukabaki hapa hapa TZ kwani pia utatengeneza channel zaidi hata ukimaliza chuo hautahangaika sana kwenye soko la ajira..
Ila kama unataka kwenda Algeria kubadilisha mazingira nenda tu.. Ila soko la ajira la computer eng.. Kwa sasa hiv limepungua..
 
Naongea kama mhandisi kwa ujumla wake, ingawa sifanyi kazi hizo kwa sasa. mtu anayekosa ajira wakati amesoma computer engineering has to be mediocre. It's one of the easiest major to get employed in or to be self employed yourself incase you decide.

Kwa mfano, ukiamua kujikita kwenye software,coding etc.., kazi zimejaa kibao.., kila taasisi Tanzania kuanzia sasa kwenda mbele lazima iwe na IT department/IT staff. Sidhani kama Hospitali itahitaji Civil Engineer, au mahakama itahitaji Civil Engineer.

Ukija kwenye Computer Networking, Tanzania ni kati ya nchi za kiafrika zilizo na penetration kubwa ya simu za mkononi, hiii inamaanisha nini?reach ya huduma ya mawasiliano ina-cover over 90% ya watanzania. Wateja wako ni kil amhusika mwenye simu ya mkononi, either directly au indirectly. Nikija kwenye mifumo ya mawasiliano kati ya mtandao mmoja kwenda mwengine, kwa maana ya interconnections, inter-operability, ndio kabisa, the market is extremely broad and in it's early stages.

Sasa hivi kuna challenge mpya ya Cyber Security, hii ni nafasi mpya ya ajira, kwani kila taasisi itahitaji iwe na policy na enforecement yake inahitaji capable engineers.

Ukiona mtu anakuambia Computer Engineering iko saturated, you can be sure of two things, si Mtaalamu wa computer, kama anajitanabahisha kuwa hivyo, basi ni "mediocre".

Computer Engineering is extremely wide, the only thing that can happen to you is being under utilised, other than that, you will always be busy. JUST one word of advice, Be good at what you are doing.

Usitishwe na watu wanaopiga kelele computer engineering iko saturated, most of those people can not tell a single difference between IT and computer engineering. Wao kila mtu aliyehitimu kozi ya Micoroft excel hapo hanibabaishi IT center wanamuona ni mtaalam wa kompyuta. Si sahihi.

Kuhusu kozi ya Civil, based on my vast experience overseas, it's one of the hardest courses kujiajiri, kwani capital yake si ya kubabaisha, sijawahi ona civil engineers wengi wakijiajiri from the get go. lazima upitie apprentinceship flani kwenye kampuni flani, uvuke ngazi ndio uwe na practice yako.

Pia Civil Engineers hawahitajiki kwenye kila nyanja ya maisha, sehemu chache, tu ndio wanahitajika. Na kazi wanazofanya sio ongoing, kama kazi zinazofanywa na computer engineers. If you are good at what you are doing i can assure you as a computer engineer jobs will not be your worry, you will be begging for free time. Just Be good.
 
Sawa nimekuelewa ulicho ongea lakini uliyoongea hayako katika uhalisia wa dunia ya sasa hivi.. Trust me soko la computer engineering kwa sasa hiv halipo kubwa kama ilivyokua zamani labda enzi mlizisoma nyinyi ni tofauti sana na siku hizi.

Pili labda hukijui unachoongea kuhusu civil engineering.. Kwa sasa hivi nchi yetu imejikita sana kwenye maswala ya ujenzi na kila shughuli yoyote ya ujenzi unayoiona lazma pale mkono wa civil engineer uwepo. Labda tu huelewi pia civil haijajikita kwenye ujenzi tu civil engineer anaweza fanya kazi barababari, anaweza fanya kazi katika kilimo cha umwagiliaji, anaweza fanya kazi katika miradi ya maji. Hapo nikiwa na maana kwamba kijana ana kuwa na fursa kubwa ya kuweza kuajiriwa katika sehemu hzo zote ukicompare na mtu aliyesoma computer engineering. Ukweli lazma tuuseme kwa sasa hivi civil engineer ndio hot cake kwa nchi hii.

3.serikali kupitia wilaya zake huwa inawaajiri civil engineer ikiwa na maana kwamba anaweza ajiriwa na serikali pia..

Tukiongelea kwa kipindi hiki tulipo demand ya civil engineer ipo juu ukicompare na computer engineer..mm kwa mchango namshaur abaki hapa asome civil engineering.
 
Wewe bado mwanafunzi unaongea kupitia story unazosikia na kusimuliwa.
 
NInaelewa upana wa shughuli za CIVIL engineers, lakini usichokijua wewe ni kuwa Hakuna taaluma pana zaidi ya Computer engineers kwa sasa, Dunia nzima. Mimi sijasoma compuer engeneering, i am professionally a telecommunications engineer, ingawa miaka yetru tulisoma electrical and electronics engineering kwa bibi. Still, i work very close with computer engineers and i have extensive computer engineering knwoledge as a factor of my work.
Narudia tena, bado haujui kazi za computer engineer, and i bet hujui tofauti ya IT na computer engineering.

Pili labda hukijui unachoongea kuhusu civil engineering.. Kwa sasa hivi nchi yetu imejikita sana kwenye maswala ya ujenzi na kila shughuli yoyote ya ujenzi unayoiona lazma pale mkono wa civil engineer uwepo. Labda tu huelewi pia civil haijajikita kwenye ujenzi tu civil engineer anaweza fanya kazi barababari, anaweza fanya kazi katika kilimo cha umwagiliaji, anaweza fanya kazi katika miradi ya maji. Hapo nikiwa na maana kwamba kijana ana kuwa na fursa kubwa ya kuweza kuajiriwa katika sehemu hzo zote ukicompare na mtu aliyesoma computer engineering. Ukweli lazma tuuseme kwa sasa hivi civil engineer ndio hot cake kwa nchi hii.

Hizi kazi unazozisema ziko toka chama chasika hatamu, kazi unazozisema ajira zake ni za muda, kazi unazozisema zina ukomo, kazi unazozisema quantitatively sio nyingi kama unavyotaka kuaminisha watu. makampuni ya makubwa ya ujenzi TZ hayazidi 100. Na wanaoajiriwa sio wote ni civil engineers. Na idadi yake sio kubwa.kwa kuwa hatuna makampuni makubwa.

Ukija kwa computer engineers, Kila kampuni ya Simu, lazima awepo, kila benki lazima awepo, kila taasisi ya fedha lazima awepo, hata hayo makampuni ya CIVIL yatahitaji mtaalam wa computer kama yanatumia Building information systems kwa ujenzi kama zinazotumika na BAM pale airport JNIA, kila taasisi yenye computers, mbali na wataalamu wa IT, itahitaji Computer engineer kwa ajili ya kudesign na kumanage networks zao, hii ni 24/7 job.

Nikija kwenye ajira binafsi, hiyo simu uliyoishika kila software unayotumia hapo ni ajira kwa computer engineer mzuri kwa maana ya utengenezaji wa applications etc( hili soko bado jeupe na halina mwenyewe).

3.serikali kupitia wilaya zake huwa inawaajiri civil engineer ikiwa na maana kwamba anaweza ajiriwa na serikali pia..

Wilaya sio nyingi kama unavyofikiri. Kuna wilaya si zaidi ya mia 3. hizi zote zikiajiri civil engineer mmoja ni nafasi mia 3 tu!

Tukiongelea kwa kipindi hiki tulipo demand ya civil engineer ipo juu ukicompare na computer engineer..mm kwa mchango namshaur abaki hapa asome civil engineering.

ufikiri wako ni mdogo na ni reactionary sana, sio kila ujenzi wa barabara unaouona ni ajira mpya kwa civil engineers.Vyuo havisomeshi kozi zisizo na mahitaji, kuna wataalamu wa planning kwenye vyuo, ukiona kozi ya computer engineering inatolewa na vyuo vingi zaidi, inamaana uchumi wetu unawahitaji hao zaidi. Civil Engineers ni muhimu, lakini hitajji lao sio kubwa kama unavyodhani.

Ushauri unabaki palepale, kwa huyu kijana, asiwe mediocre that is all. Akiwa mchovu haijalishi amesoma nini, ajira au kujiajiri atakusikia kwenye bomba tu!
 
Wewe bado mwanafunzi unaongea kupitia story unazosikia na kusimuliwa.

Siongei kuhusu story nazoskia npo kwenye industry ya civil engineering na ndyo nayoeleza hapa.. Nipinge kwa hoja sio kuleta porojo.
 
Wakuu nina ndugu yangu kapata hizo scholarship toka wizarani kwenda nchini Algeria. Nilikuwa natafuta necessary information kwa ajili yake kama zinalipa katika soko la ajira Tanzania anasomea mambo ya Computer. Mwenye habari anaweza kunijuza kama ni sahihi kwake au kubaki Udsm Computer Engineering and IT.

Ahsante
Ausikilize moyo wake unataka nini. Kuhusu kupata kazi haijalishi umesoma nje au umesoma Tanzania. Kinacho-matter ni how competent you are na una-qualify vp kwa hiyo kazi uliyoomba. Tatizo kubwa Watanzania tunaamini katika makaratasi, ukitoka Chuo una GPA kubwa unataka upate kazi, ukipewa namba ujumlishe katika excel unatoa macho
 
NInaelewa upana wa shughuli za CIVIL engineers, lakini usichokijua wewe ni kuwa Hakuna taaluma pana zaidi ya Computer engineers kwa sasa, Dunia nzima. Mimi sijasoma compuer engeneer, i am proffesionaly a telecommunications engineer, ingawa miaka yetru tulisoma electrical and electronics engineering kwa bibi. Still, i work very close with computer engineers and i have extensive computer engoineering knwoledge as a factor of my work.Narudia tena, bado haujui kazi za computer engineer, and i bet hujui tofauti ya IT na computer engineering.Hizi kazi unazozisema ziko toa chama chasika hatamu, kazi unazozisema ajira zake ni za muda, kazi unazozisema zina ukomo, kazi unazozisema quantitatively sio nyingi kama unavyotaka kuaminisha watu. makampuni ya makubwa ya ujenzi TZ hayazidi 100. Na wanaoajiriwa sio wote ni civil engineers. Na idadi yake sio kubwa.kwa kuwa hatuna makampuni makubwa.Ukija kwa computer engineers, Kila kampuni ya Simu, lazima awepo, kila benki lazima awepo, kila taasisi ya fedha lazima awepo, hata hayo makampuni ya CIVIL yatahitaji mtaalam wa computer kama yanatumia Building information systems kwa ujenzi kama zinazotumika na BAM pale airport JNIA, kila taasisi yenye computers, mbali na wataalamu wa IT, itahitaji Computer engineer kwa ajili ya kudesign na kumanage networks zao, hii ni 24/7 job.Nikija kwenye ajira binafsi, hiyo simu uliyoishika kila software unayotumia hapo ni ajira kwa computer engineer mzuri kwa maana ya utengenezaji wa applications etc( hili soko bado jeupe na halina mwenyewe).Wilaya sio nyingi kama unavyofikiri. Kuna wilaya si zaidi ya mia 3. hizi zote zikiajiri civil engineer mmoja ni nafasi mia 3 tu!ufikiri wako ni mdogo na ni reactionary sana, sio kila ujenzi wa barabara unaouona ni ajira mpya kwa civil engineers.Vyuo havisomeshi kozi zisizo na mahitaji, kuna wataalamu wa planning kwenye vyuo, ukiona kozi ya computer engineering inatolewa na vyuo vingi zaidi, inamaana uchumi wetu unawahitaji hao zaidi. Civil Engineers ni muhimu, lakini hitajji lao sio kubwa kama unavyodhani.Ushauri unabaki palepale, kwa huyu kijana, asiwe mediocre that is all. Akiwa mchovu haijalishi amesoma nini, ajira au kujiajiri atakusikia kwenye bomba tu!
Umesomeka sana kaka mkubwa,Ingawa mimi nipo napiga Mechanical ningeomba ufafanuzi wako zaidi kwa hii course.
 
NInaelewa upana wa shughuli za CIVIL engineers, lakini usichokijua wewe ni kuwa Hakuna taaluma pana zaidi ya Computer engineers kwa sasa, Dunia nzima. Mimi sijasoma compuer engeneer, i am proffesionaly a telecommunications engineer, ingawa miaka yetru tulisoma electrical and electronics engineering kwa bibi. Still, i work very close with computer engineers and i have extensive computer engoineering knwoledge as a factor of my work.
Narudia tena, bado haujui kazi za computer engineer, and i bet hujui tofauti ya IT na computer engineering.

Hizi kazi unazozisema ziko toa chama chasika hatamu, kazi unazozisema ajira zake ni za muda, kazi unazozisema zina ukomo, kazi unazozisema quantitatively sio nyingi kama unavyotaka kuaminisha watu. makampuni ya makubwa ya ujenzi TZ hayazidi 100. Na wanaoajiriwa sio wote ni civil engineers. Na idadi yake sio kubwa.kwa kuwa hatuna makampuni makubwa.

Ukija kwa computer engineers, Kila kampuni ya Simu, lazima awepo, kila benki lazima awepo, kila taasisi ya fedha lazima awepo, hata hayo makampuni ya CIVIL yatahitaji mtaalam wa computer kama yanatumia Building information systems kwa ujenzi kama zinazotumika na BAM pale airport JNIA, kila taasisi yenye computers, mbali na wataalamu wa IT, itahitaji Computer engineer kwa ajili ya kudesign na kumanage networks zao, hii ni 24/7 job.

Nikija kwenye ajira binafsi, hiyo simu uliyoishika kila software unayotumia hapo ni ajira kwa computer engineer mzuri kwa maana ya utengenezaji wa applications etc( hili soko bado jeupe na halina mwenyewe).

Wilaya sio nyingi kama unavyofikiri. Kuna wilaya si zaidi ya mia 3. hizi zote zikiajiri civil engineer mmoja ni nafasi mia 3 tu!

ufikiri wako ni mdogo na ni reactionary sana, sio kila ujenzi wa barabara unaouona ni ajira mpya kwa civil engineers.Vyuo havisomeshi kozi zisizo na mahitaji, kuna wataalamu wa planning kwenye vyuo, ukiona kozi ya computer engineering inatolewa na vyuo vingi zaidi, inamaana uchumi wetu unawahitaji hao zaidi. Civil Engineers ni muhimu, lakini hitajji lao sio kubwa kama unavyodhani.

Ushauri unabaki palepale, kwa huyu kijana, asiwe mediocre that is all. Akiwa mchovu haijalishi amesoma nini, ajira au kujiajiri atakusikia kwenye bomba tu![/QUOTE.
Labda tunashindwa kuelewana hakuna sehemu niliyoiponda computer engineering najaribu kuonesha na ku compare kat ya hz course mbili ili huyu kijana kama akiamua kufanya uamuzi basi afanye uamuzi sahihi kulingana na mahitaji yake pia kulingana na soko la ajira linaendeleaje nazani hilo ndo lilikua swala la msingi
Sipo kwa ajili ya kushindanisha hizi course nimejaribu kuonyesha uzuri wa civil engineering na wigo wake mpana kwenye fursa za kuajiriwa. Kuanza kuniita kwamba nina uelewa mdogo kisa nimeelza navyolijua soko la civil engineering huku sio kunitendea haki.

Na kama wew pia ulivyoonesha wigo wa kujiajiri kwenye computer engineering lengo ni kumfungua huyu kijana kama akiamua kufanya maamuzi basi afanye maauzi yenye busara..

Nikutakie usiku mwema..
 
Ausikilize moyo wake unataka nini. Kuhusu kupata kazi haijalishi umesoma nje au umesoma Tanzania. Kinacho-matter ni how competent you are na una-qualify vp kwa hiyo kazi uliyoomba. Tatizo kubwa Watanzania tunaamini katika makaratasi, ukitoka Chuo una GPA kubwa unataka upate kazi, ukipewa namba ujumlishe katika excel unatoa macho

Thanks mkuu...ushauri mzuri
 
DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU HILI..
ASANTENI.
:redfaces:

Nakushauri baki Tanzania, ingia UDSM piga Civil Engineering. Nina uhakika 100% hutajuta kamwe. Ni kozi nzuri zaidi, chuo kizuri zaidi na nchi nzuri zaidi(socially) kuliko Algeria.

*Unajua kuna vitu watu hawafahamu kuhusu kwenda kusoma nje, wanakurupuka tu na kukimbilia nje kwa ulimbukeni tu.

Nenda kasome nje kama una sababu hivi.
1/Huna nafasi au udhamini(Mkopo!?) Wa kusoma chuo cha Tanzania na wakati huo huo nafasi au udhamini Wa kusoma nje ipo.(Hapo mtu hana jinsi, zaidi yeye anataka kwenda kusoma tu hivyo popote pale atakwenda)

2/Unakwenda kusomea Course nzuri na yenye soko kubwa la ajira hapa Tanzania na Course hiyo haipo kwa hapa Tanzania.(kwa sasa hili ni kama halipo tena, Tz kuna vyuo vingi, Course nyingi sana lakini yote kwa yote ajira hakuna kwa Course nyingi sana haijarishi umesomea nje au ndani)

3/Unataka kwenda kufanya mambo mengine binafsi zaidi ya kusoma kwa mfano kufanyakazi, biashara, Ndoa na Familia(Hili lipo zaidi kwa watu wanaokwenda nchi nzuri kama USA, Canada, UK, Finland, Sweden, German, Australia, Denmark, Holand, Japan) wengi wanaenda huko wanasoma huku/kisha wanabaki huko na kuishi kabisa, mazingira ya huko yanaruhusu kabisa. Lakini hilo haliwezekaniki kwa nchi kama Algeria, India, Russia, China, Ukraine nk.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom