Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

Status
Not open for further replies.
Tell him/her to go, Algeria is among Africa's technologically developed countries, and you can not possibly compare the exposure advantages he/she will get from studying there to studying in UDSM.
The biggest problem many are facing in the job market is less about wheat degree they have, but rather, lack of exposure and ability to think outside the box. Living in a foreign country checks those boxes.

Do not start any form of education, thinking about whether you will be employed or not. That's a wrong mindset. Start a course aiming to be very good at what you do. Jobs will follow you down the road. If you are mediocre, it won't matter if you studied in UK, US or Tanzania, you will still be unemployable.
 
DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU HILI..
ASANTENI.
:redfaces:

Nenda wewe, usisikilize porojo za JF. Nusu ya watoa porojo hata Airport hawajawahi kukatisha, wanakupa story walizosimuliwa kutoka kwa waliosimuliwa.
 
Nina pia kaka yangu alisoma huko Algeria ila baada ya hapo hana ajira mpaka leo..hadi anawaza kuanza degree tz

Kaka yako mediocre! Uzembe wake ndio sababu ya kukosa ajira au kushindwa kujiajiri, sio alikosomea, hata angesomeshwa mbinguni angeendelea kukosa ajira. hata akirudia kusoma mara kumi hatapata ajira, kwa kuwa tatizo ni yeye sio anakosoma.

mwambie ajitazame wapi anakosea.ajirekebishe.
 
DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU HILI..
ASANTENI.
:redfaces:

kuishi miji mikubwa nchi za watu ni elimu tosha.. north africa wapo mbele yetu vitu vingi..achana na udsm nenda algeria kaka..

ujifunze pia na ukombozi jinsi ya kuandamana kama waarab wa huko hadi rais na mawaziri wanajiuzulu.. uje utufundishe watanzania tuwatoe ma sisiemu haya
 
ASANTE BRO KWA KUNITIA MOYO,,,GOD BLESS YOU.:focus:
 
yupo binamu yangu alisoma ALGERIA UCHUMI Karudi TZ hakukaa benchi kapata ajira TRA ANAKULA KUKU KWA MRIJA
 
Tell him/her to go, Algeria is among Africa's technologically developed countries, and you can not possibly compare the exposure advantages he/she will get from studying there to studying in UDSM.
The biggest problem many are facing in the job market is less about wheat degree they have, but rather, lack of exposure and ability to think outside the box. Living in a foreign country checks those boxes.

Do not start any form of education, thinking about whether you will be employed or not. That's a wrong mindset. Start a course aiming to be very good at what you do. Jobs will follow you down the road. If you are mediocre, it won't matter if you studied in UK, US or Tanzania, you will still be unemployable.

Its such an encouraging post, i'll have to show him..
Thanks
 
DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU HILI..
ASANTENI.
:redfaces:

soma civil eng,hauto kja kujuta achan n hy koz y ajab hk algeria utakj kusugua bench ktaa. civil eng is the best, karbu kwny fan y uhandisi.
 
Alifanya vizuri...aliApply udsm first choice naf hzo scholarship za Algeria second choice and hizo scholarship waliitwa hata kabla ya matokeo ya Udsm kutoka

Babu huku algeria fresh tu acha aje kus0ma...ila lugha ni kifaransa so haina shidah..kuhusu ajira ni kitu kingine kabisa
 
Nenda wewe, usisikilize porojo za JF. Nusu ya watoa porojo hata Airport hawajawahi kukatisha, wanakupa story walizosimuliwa kutoka kwa waliosimuliwa.
Thanks brother,humu jf kila mtu anajikuta anajua kila kitu mbuzi hawa yan kusoma kwnyewe cjui maana ukileta uz wwote wanadondoka nao..iwe ndo form 4 au form 5&6 wanaamsha mara chuo wao...alaa
 
Hahahaha
 
Hilo lumenigusa, nami dada yangu alisomea Financial Management, huko Algeria tangu arudi yupo tu home 2 yrs now, kazi kaambiwa akajitafitie. Kila anapoomba anaambiwa lajbda angechukua Accounts! Mwenye mchongo anitonye.
 
we nae kilaza kweli...samahani kwa hiyo kauli.hivi angesomea financial management hapa bongo ndo angepata ajira?
 
Alaf me bado najiuliza,,kama huko algeria nikubaya,kwanni hao walioko huko ndo wanakuwa wakwanza kuwainfluence ndugu zao kuwa nao waende??..does it mean nao wakahustle au kuna beyond that?
 
alaf me bado najiuliza,,kama huko algeria nikubaya,kwanni hao walioko huko ndo wanakuwa wakwanza kuwainfluence ndugu zao kuwa nao waende??..does it mean nao wakahustle au kuna beyond that?
mkuu wewe baki bongo upige hiyo civil engineering ina market kubwa kuliko comp engineering.ingekuwa unaeenda huko nje kupiga civil eng ningekushauri uende.
 
DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU HILI..
ASANTENI.
:redfaces:

Nenda Civil Engineering. Hii haijalishi kuwa ni Havard au wapi. Achana na computer engineering
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom