OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Uswazi uezi lala nja labda usiwe mtu wa kujichanganyaHahaaaaa, sihami uswazi nasonga ugali mboga naenda kuomba kwa jirani.
Uswazi uezi lala nja labda usiwe mtu wa kujichanganyaHahaaaaa, sihami uswazi nasonga ugali mboga naenda kuomba kwa jirani.
Basi utakuwa umechapa nchi nzima mkuu zero iqRaha ya uswazi ni moja tu ukichapa demu vizuri akitoka tu anaenda msimulia Rafiki yake nae atataka kuja kuhakiki unachapa, ataenda kumsimulia mama yake muuza mgahawa nae unachapa yaani kwa msururu huo unaenda kuchapa ukoo mzima na mashost zao dadeki,
Uswazi Raha sana.
Hahaaa, mi mwenyeji uswazi mkuu!Hahaha mrembo karibu uswazi kwetu
Missed you!!
Hahaaaa, uswazi rahaa, unasemwa mpaka unaumwaaIla kuna siku lazima wakufume af wanakuhifadhi, siku mkikosana tu kinakua KICHAMBIO hadi utakoma.![]()
![]()
![]()
DuuhUswazi mademu ni rahisi sn kuwapata, ukiwa na kahela kakula tu utang'oa sn madem na mama zao
Ila kama sio mtu wa kujali wasemayo, unakua huna habari naoHahaaaa, uswazi rahaa, unasemwa mpaka unaumwaa
Hahaaa, unawakaushia eeh, safiiIla kama sio mtu wa kujali wasemayo, unakua huna habari nao
Uswahilini maisha ya kila mtu, ni mume/mke wa nani? Anafanya kazi gani? Ana watoto wangapi? Ni kabila gani?
Nani ni mpenzi wa nani?
Huwa siyo siri.
Watataka wajue maisha yako, kama maisha yako ni ya kuunga unga. Ukipata shida hawatakuacha. Kama hawatakuwa na pesa ya kukusaidia watamtafuta Gea Habib awasaidie kuitangaza ili upate msaada.
Kama maisha yako yametulia pesa ya mboga si shida basi ishi kwa heshima. Ukienda kwenye msiba kula hata kama umewekewa sinia ushirikiane na wenzako. Usipogusa chakula inakuwa noted hiyo.
Huku kwetu kuvaliana nguo ni kitu cha kawaida. Unaweza kununua khanga na kuwapa mashost wakutolee upya.
Huku tunashirikiana kwa shida na raha. Kama huna chakula cha kuwapa watoto usishangae habari zitaenea na sahani za chakula zitaingia.