Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Nimeshawahi kuona hii yule bibie alilia kama mtoto na kuomba msamaha kwa majiraniUmeonaee na yule alinyooshwa hasa na cha ajabu majirani walipika kama kawa ila saa ya kula wote hawakula.
Nimeshawahi kuona hii yule bibie alilia kama mtoto na kuomba msamaha kwa majiraniUmeonaee na yule alinyooshwa hasa na cha ajabu majirani walipika kama kawa ila saa ya kula wote hawakula.
Hiyo mboga uliyo pasha naomba vimchuzi kidogo nisonge ugali best.
Yah! Ni kweli usemalo Dada.Kule usijifanye wewe ni special, wewe ishi kijamaa tena watakuchukua kama ndugu yao.
Ila naionaga ni dawa moja kali sana ambayo dozi yake huwa ni mara moja tu na mgonjwa anapona. Hahaaaaa.Nimeshawahi kuona hii yule bibie alilia kama mtoto na kuomba msamaha kwa majirani
Hahahaha Uswahilini kuombana mboga yaani unakuta mtu anategesha ukipika tu huyo kaleta bakuli nisaidie 😀😀😀Usijali leta bakuli nikutilie
@Zero IQRaha ya uswazi ni moja tu ukichapa demu vizuri akitoka tu anaenda msimulia Rafiki yake nae atataka kuja kuhakiki unachapa, ataenda kumsimulia mama yake muuza mgahawa nae unachapa yaani kwa msururu huo unaenda kuchapa ukoo mzima na mashost zao dadeki,
Uswazi Raha sana.



Leo Mkuu umekuja penyeweHeheee. Naomba nipashe mboga kwenye gesi yakoUmewasha mkaa nije kupasha mboga?



Njoo uchukue, ila njoo na ndimu,chumvi na pilipili naona hapa vimeniishiaHiyo mboga uliyo pasha naomba vimchuzi kidogo nisonge ugali best.

HahahahahaaaUmewasha mkaa nije kupasha mboga?
Naomba mboga kidogo (Kama Ni ya mchuzi) nikamlishe mtoto ugaliUmewasha mkaa nije kupasha mboga?
Ila watu wa pwani na visiwani kiboko. Alfajiri mtu kashamaliza mtaa eti anasalimia. Wanawake wa pwani wanakaa kijiweni kuelezea walivyofanywa usiku.Hao ni watu wa pwani na uzaramo tu
Mikoa mingi kuna uswahilini hakuna upuuzi kama huo
Hizo ni story za Dar es Salaam Buguruni na mwananyamala, Tatizo wenyeji wamehodhi hizo sehemu
Muda unavyoenda hayo maeneo yatageuka maofisi hao watauza tu na kwenda kisarawe au Bagamoyo
Zamani kariakoo kulikuwa na huo ujinga pale katikati Leo wamebaki wachache, zimejaa ghorofa na ofisi za watu
Nani pale kariakoo mwenye nyumba anayemfuatilia jirani na Wao wataondoka tu kero za kelele na sera za nchi
Sinza uswahili ulipungua kipindi cha JK watu walifanya watakalo makahaba, Bar na pombe ilikuwa ndio sehemu yake, Wazawa wengi walihama na kupangisha, uswahili umepungua sinza


eti leo kanabanduka saa 12..sijui nani kawaambia wengine hawapandwi!mboga saba huku kwetu kwanini pana kuuzi, au panya road na mbwa mwitu ndo wanakutishaSikupendi
Ndivo kuliko huku uswahilini kwetu mtaniDada nimekuelewa hapo kwenye misiba nilishawahi kuona msiba mmoja huo chakula kimepikwa majirani woote walimsusia yaani hakuna aliyekula wala kuosha vyombo baadae nasikia wanasema huyu mwenye msiba huwa hali chakula kwenye misiba ya wenzake wala kugusa chombo cha kuosha akija anakuja kama Mtalii tu.
Nikawa nimejifunza jambo pale.
HahahahaNjoo uchukue, ila njoo na ndimu,chumvi na pilipili naona hapa vimeniishia![]()
wanasemaga nipe kidogo niwape watoto kumbe ndo anend kusonga ugali siku inapita mpaka rahaaa
Raha ya uswazi ni moja tu ukichapa demu vizuri akitoka tu anaenda msimulia Rafiki yake nae atataka kuja kuhakiki unachapa, ataenda kumsimulia mama yake muuza mgahawa nae unachapa yaani kwa msururu huo unaenda kuchapa ukoo mzima na mashost zao dadeki,
Uswazi Raha sana.