It comes with a price. Ugonjwa wako utakua habari ya mtaa, kama ni HIV dit’s zinaanza kuungwa.
Ndo ukweli kuna vituko hadi rahaNahamaje sasa
Watataka wajue maisha yako, kama maisha yako ni ya kuunga unga. Ukipata shida hawatakuacha. Kama hawatakuwa na pesa ya kukusaidia watamtafuta Gea Habib awasaidie kuitangaza ili upate msaada.
Bila kusahau uswazi mtu anaingia bafuni kuoga na maji tundoo robo na mswaki jiulize maji ya kupigia mswaki anatoa wapi uswahilini ukitaka maharagwe yapo yaliyochemshwa ya kupima , Uswahilini kila kiungo cha kuku kinauzwa kasoro manyoya ,Uswahilini kucheleUswahilini maisha ya kila mtu, ni mume/mke wa nani? Anafanya kazi gani? Ana watoto wangapi? Ni kabila gani?
Nani ni mpenzi wa nani?
Huwa siyo siri.
Watataka wajue maisha yako, kama maisha yako ni ya kuunga unga. Ukipata shida hawatakuacha. Kama hawatakuwa na pesa ya kukusaidia watamtafuta Gea Habib awasaidie kuitangaza ili upate msaada.
Kama maisha yako yametulia pesa ya mboga si shida basi ishi kwa heshima. Ukienda kwenye msiba kula hata kama umewekewa sinia ushirikiane na wenzako. Usipogusa chakula inakuwa noted hiyo.
Huku kwetu kuvaliana nguo ni kitu cha kawaida. Unaweza kununua khanga na kuwapa mashost wakutolee upya.
Huku tunashirikiana kwa shida na raha. Kama huna chakula cha kuwapa watoto usishangae habari zitaenea na sahani za chakula zitaingia.
Raha ya uswazi ni moja tu ukichapa demu vizuri akitoka tu anaenda msimulia Rafiki yake nae atataka kuja kuhakiki unachapa, ataenda kumsimulia mama yake muuza mgahawa nae unachapa yaani kwa msururu huo unaenda kuchapa ukoo mzima na mashost zao dadeki,
Uswazi Raha sana.
Hahaaaaa, sihami uswazi nasonga ugali mboga naenda kuomba kwa jirani.Uku uswahilini mtu unatoka zako ndan na ungo una mchele unapeta peta apooo alafu unarud ndan unasonga zako ugali ...kesho tena unafanya ivyo ..ili kuwanyoosha wajue mambo safi
Hahahhh hii kweli kabisaHayo maji ukimaliza kusuuzia nguo usimwage nayaomba .
Uku uswahilini mtu unatoka zako ndan na ungo una mchele unapeta peta apooo alafu unarud ndan unasonga zako ugali ...kesho tena unafanya ivyo ..ili kuwanyoosha wajue mambo safi
,nimeipenda hii ,kumbe una kikombe kimoja cha mchele

Ila kuna siku lazima wakufume af wanakuhifadhi, siku mkikosana tu kinakua KICHAMBIO hadi utakoma.![]()
![]()
,nimeipenda hii ,kumbe una kikombe kimoja cha mchele

Hahaha mrembo karibu uswazi kwetu![]()
![]()
,nimeipenda hii ,kumbe una kikombe kimoja cha mchele


