Maisha ya Uswahilini

Maisha ya Uswahilini

Uswahilini kuzuri jamani!
Tunashirikiana kila kitu!
Sabuni ya kuoga
Ya kufulia
Vyombo vya kupikia
Tunashirikiana mpka migegedo!
Yaani mmepanga nyumba moja we unamgegeda mama mwenye nyumba huku na we mkeo analiwa na mpangaji mwenzio!
Tunazikana vizuri sana na pia tunashirikiana hadi kuchambana!
Huku kazi zote ni halali, kuanzia wizi ukabaji udangaji nk!
Huku mfanyakazi wa benk ataitwa tajiri!
Yaan ni mengi mno lakini huku ndo kwetu.
hata ukiwa mwanajeshi una kavii kamoja bado unanyenyekewa
 
Uswahilini maisha ya kila mtu, ni mume/mke wa nani? Anafanya kazi gani? Ana watoto wangapi? Ni kabila gani?
Nani ni mpenzi wa nani?
Huwa siyo siri.

Watataka wajue maisha yako, kama maisha yako ni ya kuunga unga. Ukipata shida hawatakuacha. Kama hawatakuwa na pesa ya kukusaidia watamtafuta Gea Habib awasaidie kuitangaza ili upate msaada.

Kama maisha yako yametulia pesa ya mboga si shida basi ishi kwa heshima. Ukienda kwenye msiba kula hata kama umewekewa sinia ushirikiane na wenzako. Usipogusa chakula inakuwa noted hiyo.

Huku kwetu kuvaliana nguo ni kitu cha kawaida. Unaweza kununua khanga na kuwapa mashost wakutolee upya.

Huku tunashirikiana kwa shida na raha. Kama huna chakula cha kuwapa watoto usishangae habari zitaenea na sahani za chakula zitaingia.

Mmh! hivi maisha haya unayashi au wewe ni mwana sociolojia, au mtafiti!, maana kati ya vitu unavyonifurahisha ni hizi story zako za maisha halisi ya mitaani.
 
Ukiwa na girl friend wa Uswahilini ukimpa pesa aji weke sawa inaweza kuwa ni pesa inayotegemewa na familia. Aende kusuka Brazillian hair wakati dada amejifungua na hakuna supu ya mzazi!
 
Kuishi uswazi inatakiwa uwe na moyo mkubwa sana maana yanayonitokea toka nihamie huku daaah..................
 
Alafu nasikia sisi wauswahili ndio tunajua kuvitendea haki vitanda vyetu tuwapo 6×6, kupita dirishani nakusikia kwichkwichi nikawaida sana
 
Mbona mbali huko we muhakikishie chips kavu daily usiku utapewa uchi mpaka ukimbie wew
Uswazi mademu ni rahisi sn kuwapata, ukiwa na kahela kakula tu utang'oa sn madem na mama zao
 
Uswazi wadada wanazaa bila mpango hawaoni hasara kila mtoto na baba yake ukiuliza unaambiwa kila mtoto anakuja na nyota yake
Utaambiwa riziki mafungu 7, kila mtoto na bahati yake. Its absolutely ridiculous!
 
Raha ya uswazi ni moja tu ukichapa demu vizuri akitoka tu anaenda msimulia Rafiki yake nae atataka kuja kuhakiki unachapa, ataenda kumsimulia mama yake muuza mgahawa nae unachapa yaani kwa msururu huo unaenda kuchapa ukoo mzima na mashost zao dadeki,


Uswazi Raha sana.
Nahamaje sasa
 
Dada nimekuelewa hapo kwenye misiba nilishawahi kuona msiba mmoja huo chakula kimepikwa majirani woote walimsusia yaani hakuna aliyekula wala kuosha vyombo baadae nasikia wanasema huyu mwenye msiba huwa hali chakula kwenye misiba ya wenzake wala kugusa chombo cha kuosha akija anakuja kama Mtalii tu.

Nikawa nimejifunza jambo pale.
Hata hapo Rombo kimara niliwahi shughudia kipindi fulani,kuna familia wao walikuwa wanatoa Pesa tu misibani na kusepa,akafa mtoto wao,wanamtaa wakachanga hela na kumtuma mwenyekiti wa mtaa na wazee wawili kupeleka pale,ndugu zao wakashangaa,wakaomba msamaha ila wanajamii tulienda kuzika tu then hakuna mtu aliyebaki pale wa turubai.

Ile familia tangu pale wanaenda misibani hadi kibamba,tabata,bunju etc
 
Kuna watu uswahilini wataka kufahamu kwa wiki unakula mara ngapi kama ni mayai unakaanga mara ngapi, samaki, ndizi na pilau hivyo kuweza kukadiria kipato chako.

Pia uswahilini kuna kutegeana kukinga maji kwenye karo hivyo wa kwanza anakuwa na ndoo hata nne au tano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom