Maisha ya ubachela

Tatizo mkiona hivo hamjiamini mnatuogopa na kitu kidogo mnaweka hizo defense mechanisms zenu
Kumtongoza ke aliyekuzidi uwezo inahitaji moyo wa chuma labda anianze mwenyewe, na awe SM walau huyo anakuwa amepevuka lakn hawa 21 to 30 na awe ajazalishwa kumuingia ni ngumu natarajia kilasiku kufokewa, kama unabisha tujaribu.
 
Wee tangazo liko wapi?? Acha mambo yapo wewe mabwana kibao Ninao ndo nataka nifanye uamuzi tehteh

Endelea nao, siku hizi tunasoma gauge, hata kama body mpya tunachek kilomita, unashtuka ishakuwa late 30th. akili lazima ikae sawa
 
Mwanamke uliyeumbika kama unaishiwa alafu unalalamika, basi za kuambiwa umeshindwa kuchanganya na za kwako.

Unamaanisha nini?? Samahani mimi ni slow learner ufafanuzi pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzz!
 
Wewe kuwa na tabia kama hiyo haimaanishi kuwa wanawake wote wana tabia yako. Kuna wanawake wengi tu wazuri, wenye tabia nzuri na za kupendeza, wanaojiheshimu na wasiondekeza tamaa.

Hapana sina tabia hiyo jamani maneno tu hayo. Katika uhalisia ni tofauti kabisaa
 
Bora usiolewe..huogopi yaliyomkuta mke wa patie???he,heh...utan wayego

Hahahahahahahahaha weeeeweeeee!! Mi niko gado sio kama mama P pia mimi najiamini buana
 

Eti eeeeeeeeeeh????!!!! Aiseee!!!!
 
Kumtongoza ke aliyekuzidi uwezo inahitaji moyo wa chuma labda anianze mwenyewe, na awe SM walau huyo anakuwa amepevuka lakn hawa 21 to 30 na awe ajazalishwa kumuingia ni ngumu natarajia kilasiku kufokewa, kama unabisha tujaribu.

Tehetehetehe nmeipenda teknik yako! Bravo.. Ndomana wanasema the more mwanamke unavopanda juu kuelimu na kimaisha the less unajipunguzia chance ya kuolewa au kupata mwanaume kirahis and to you men it's vice versa
 
Usijali mamii,tafuta buzi na ujue kulikanda korodani vizuri,utatoka tu.

Nishatoka best na njaa siwezi kulala ila akiwepo mimajukuku mingine automatic inamuhusu mi kazi yangu kunyosha tu miguu hata sisumbuki sana
 
Ni hivyo baby,wewe niachie mimi peke yangu niwe nakukanda,hapo utaona baraka.

Khakhakhaaaaaa mbali na pesa huduma kama hizo ndo zingemuhusu moja kwa moja sasa! Sio kuumia leo kupata wa kukukanda mpaka wiki 3 misuli si itakaza kabisa lol!
 
Sikwepi ila naongelea unafuuu muda mwingine wee hata kama una hela ila upo hom baba mtu yupo mjini sijui wapi huko kwenye mizunguko yake unamtumia sms tu baba fulani ukirudi naomba unijie na mboga khakhaa hawezi kubisha
Hahaaaaaa ukiweza kucheza na akili ya mume ndoa inakuwaga tamu sana. Coz asilimia kubwa ya wanaume wanapenda sana kutiiwa, na mwanamke akishakuwa mnyenyekevu anaweza kuchomolewa chochote anachotaka ikiwa ni pamoja na kupata amani moyoni hii ndio siri. Lakini ukionesha makucha na kujiona sasa Wewe pia ni kamwanaume kengine hapo kila kitu huvurugika na mwisho utaachia madaraka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…