Maisha ya ubachela

Mahondaw njoo kule utumalizie ule mtanange wa kufa mtuπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
ujatatua tatizo kama yasingekuwa magumu ungebaki na msimamo wako kuwa bachera.pigania maisha ujatengeneza maisha ya ndoa hapo unataka wa kukusaidia
 
kama watu wangekuwa wanaolewa kwa sababu za kukwepa majukumu hakika watu wengi wangekua wameshaolewa mpaka muda huu kwenye ndoa kuna vitu vingi kuna muda mnalala njaa inabaki kuwa siri ya ndani na usijipe moyo kuolewa ndio solution!
hakika walio kuwa kwenye ndoa watapita humu na kukupa mwangaza zaidi
 
Tatizo nn usiolewe una kasoro gan, Ila pia isiamini mwanaume eti ndo solution ya Maish yako, jitume je Suki akifulia huyo mwanaume si utamkimbia? Na utakimbia wangapi?????
 
Sawa tangazo lako limeeleweka madam, watakuja tu inbox
 
Fuata Nyayo Za Miss Natafuta Kama Njia Mbadala Yenye Faida Zenye Hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…