Maisha ya ubachela

Njoo tuishi pamoja tu mana mi pia nshachoka kupigwa na baridi na kula salary mwenyewe
 
UTHIBITISHO WA PICHA UNGESAIDIA SANA KUKUSHAURI.
 
Njoo tuishi pamoja tu mana mi pia nshachoka kupigwa na baridi na kula salary mwenyewe

Umetaja salary Usingizi wote umeniisha hahaha Hapana chezea mshahara aisee! Tarehe za karibia mwisho wa mwezi ndugu Wasio Na kazi wala mshahara simu kibaooo nakusalimia nakusalimia hawana lolote wanataka mshiko tu!
 
Hebu Njoo kuna mtu anatafuta mke mwenye shida ili aoe kirahisi maana huyo anayetaka kumuoa ana mapozi kila kitu anapata lakini anadai mapema mno kuolewa
 
Kumbe unataka kuolewa ili ununuliwe hivyo vitu? Basi ndoa itakushinda..
 
Asante sana hii post yako imenigusa kumoyo, naomba waelezee wengine wasiojua nguvu ya mwanamke endapo tu atakuwa mtiifu kwa mwanaume wake! Wengi wanachemsha kwa kujitia u much know usio na msingi ndio maana tunawachezeaga tu sababu hawatulizi akili.

Binafsi mpenzi wangu nazidi kumpenda kila kukicha coz hawezi fanya maamuzi yoyote bila kunishirikisha and i really love it. I believe she will make a very great wife kwa mtu atakaemuoa hata incase ikitokea tumeachana mbeleni huko!
For now hawezi kuomba kitu nikamnyima kabisa na hio ipo automatically coz ni mmtiifu sana na anatambua uwepo wangu na anaijua nafasi yake.
 
Ukiona unga unazidi maji, maji yanazidi unga basi inabidi utulie...
Bachelor.. Sitaki tena kuwa bachelor
Japo maisha ya kisela sometimes yananipa raha--- Squeezer
 
Umetaja salary Usingizi wote umeniisha hahaha Hapana chezea mshahara aisee! Tarehe za karibia mwisho wa mwezi ndugu Wasio Na kazi wala mshahara simu kibaooo nakusalimia nakusalimia hawana lolote wanataka mshiko tu!
Lala bhana acha kuwaza pesa
 
Hali imekuwa ngumu hata mm sitaki kuoa kwanza acha budget yangu ni enjoy mwenyewe kwa mda... Huu alafu Badae naweza fikiria ss
 
Karibu nikufanye mchepuko vitu vidogo kama hvyo nasolve fastaaa! Vitu vidogo saana mm nikajua unataka karange rover kumbe gesi tuu
njoo nikupe na ajira oryx gas kabisa
 
vitu vinaishaje hivyo while upo peke yako, au ndoa ndo ya kupunguzia makali ya maisha.. ikiwa huwezi pangilia maisha wakati upo pekee utawezaje ya wawili au zaidi
Hawa ndo huwa tunawatafuna kwa kulipia gas tuu, na wewe ukija ukalipia luku basi unatafuna! Yani hawana tofauti saana na yule anasimama njiani pale ambiance usiku wa manane
 
Hebu Njoo kuna mtu anatafuta mke mwenye shida ili aoe kirahisi maana huyo anayetaka kumuoa ana mapozi kila kitu anapata lakini anadai mapema mno kuolewa

Haa mi ndo atanipata kirahisi??????!??? Sio kila anaekuchekea amefurahi nawewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…