atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,806
Okay hicho kifaa ungejua kinaitwaje ndio ingekuwa poa zaidi ili uweze kukitafuta kwa urahisi huko madukani bila kujieleza saanaKuna vile vidawa vinauzwa 200 wengine huwa wanachoma kwenye moto,,lakin kuna vifaa vyake vinauzwa 10000 vingine 5000,,,unachukua hiyo dawa unaiweka kwenye hiyo kifaa kisha unachomeka kwenye soket ,,dawa inatoka taratibu inaua mbuu,,na hakuna harufu
Okay hicho kifaa ungejua kinaitwaje ndio ingekuwa poa zaidi ili uweze kukitafuta kwa urahisi huko madukani bila kujieleza saana
Vp kama gesi inakukatikia hapo tayari ndio uji unatokota upike ugaliHahahha Mara unapika wali unatoa kitu bokoooo.au ugali unapika Mara unga unaisha .inakua haielewek ni uji au ugali
Ndio zangu mkuu ulijuaje aiseePale unapopika nyama kama mboga, ikiiva tu wazo linabadilika unaigeuza supu, na usiombe nje ya nyumba wanauza chapati
Tambi?Itakua kwa wanaume wa dar mkuu.Haa ha ha..!! Tambi chakula boraa kabisaa.. Kupika maharage mwikooo.. wali samakii chakulaa boraaa..
Naona povu kwa mbaaaaaali linakuja kuja anyway ngoja nivute stuli na karanga nisubiri nione nini kitatokea.Kuna tofauti kati ya kuwa MCHAFU na kuwa bachelor. Mambo yote uliyoyasema hapo juu ni dalili ya mtu mchafu sana na asiyejielewa na kama hayo ndio maisha yako my brother sio sifa nzuri hata kidogo.
Ndio uwe na adabu sasaNilijua ni mm pekee angu, Yaani namwaga maji hafu naweka mengine ikinizingua naitupa kabisa.
SIPENDI KUFUAAA wala KUPIKA
Kumbe tabu then adabu hamnaTabu tupu yaani
Ndio uwe na adabu sasa
Burudani zaidi ni pale unapoamua kuanza maisha ya ubachelor halafu ukafanikiwa kununua kila kitu unachokihitaji kwa siku ya kwanza lakini ukasahau kununua mwiko au kisu
Mm huwa nachukukia pale gesi inapokata halafu uji umetokotota kwa ajili ya kupika ugali nashusha zangu sufuria nasukumizia uvunguni