dev senior
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 459
- 557
Maharage yanapikwa usiku wa manane ikifika asubuhi yanaliwa na chai....Ukiwa serious maisha ya ubachela yana raha yake na ni kama adventure fulani hivi. si ajabu ukaanza kupika maharage saa saba usiku. sometime kachumbali huwa mboga kuu. Bila kusahau wakati wowote ni wakati wa chai. Kifupi wengi hutokea kuwa wapishi wazuri ingawa ishue ya kuosha vyombo hasa sururia ni ngoma.

