Sijawahi kuamka nisikunje shuka na kutandika kitanda aisee! We differukiamka unaamka tu na kukurupuka, Kukunja shuka hukunji wala kutandika usiku ndo unakunguta shuka tu unapiga mbonji
Sijawahi kuamka nisikunje shuka na kutandika kitanda aisee! We differ
Mbinu za kukabiliana na changamoto za kuosha vyombo ziko zamani.nilikua nachanganya vyombo vyangu na vya mwenye Nyumba kwenye Caro.mwanae anaosha anajua vyao nikirudi jioni navikuta vimeanikwa nachukua.sema walikuja nishtukia nikawa na mpooza dogo na viela vya vocha anaosha

Kufua, kupika, kilufagia, kuosha vyombo (ingawa huwa situmii vyombo vingi ili nisione uvivu kuosha) hvyo vyote kwangu siyo tatzo. Tatz ni kuweka na kutoa Net tu
Kupika soo sana, nakumbuka mamma alituachaga na dingi home akasonga ugali wakati anazungusha dona ikamwangukia kwenye mkuu akaapa hapiki tena mpaka leo
wazee wetu huwa mbwembwe nyingi ila kwenye kupika ndo zero! Umenikumbusha mzee alipika ugali mtepe enzi hizo, sasa ole uinuke mapema, ni nakoz tuHakuna kitu sipendi kama kuchomeka na kuchomoa net kulaleki. Toka niichomeke sikumbuk lini natumbukuia na kutoka kama nijnja

Uko hakuchafukag mkuu nitafagia nnHahaaaaa Kufagia chini ya uvungu vepee..
Yah mkuu GentriesDat why ur Fernando am Ray
Uko hakuchafukag mkuu nitafagia nn
Stupid! huo sio ubachela bali ni uchafu*Fahamu maisha ya ubachela*
Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.
Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.
Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.
Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.
Kuna zile unaweka kwenye umemeZina harufu mbaya ndomaana sizimaind