Maisha ya Norway yapoje?

Maisha ya Norway yapoje?

Early 2000 Human right watch walitoa ripoti yao kuhusu haki za binadamu kwenye baadhi ya magereza yaliyoko Afrika. Katika ripoti hiyo ilisema binadamu yoyote ambaye anaweza kusurvival kwenye magereza ya Afrika basi huyo hata jehanam anaweza kuishi.

Walitaja nchi zenye magereza yenye watu wanaoishi kama mashetani.
1. Gambia
2. Malawi
3. Siara Leone
4. Nigeria
5. TANZANIA

Chumba cha gereza chenye uwezo wakukaa wafungwa 10 walikuwa wakiwekwa 20-25. Uchafu uliokithiri vyakula vibovu na visivyotosha kwa mfungwa. Ukosefu wa maji na kama yapo Maji ni machafu. Huduma mbovu za afya. Magonjwa ya ngozi na msongo wa Mawazo kwa baadhi ya wafungwa .

Kuingiliana kinyume na maumbile. Na baadhi ya matatizo yanayowakabili wafungwa wanawake.
 
Early 2000 Human right watch walitoa ripoti yao kuhusu haki za binadamu kwenye baadhi ya magereza yaliyoko Afrika. Katika ripoti hiyo ilisema binadamu yoyote ambaye anaweza kusurvival kwenye magereza ya Afrika basi huyo hata jehanam anaweza kuishi.

Walitaja nchi zenye magereza yenye watu wanaoishi kama mashetani.
1. Gambia
2. Malawi
3. Siara Leone
4. Nigeria
5. TANZANIA

Chumba cha gereza chenye uwezo wakukaa wafungwa 10 walikuwa wakiwekwa 20-25. Uchafu uliokithiri vyakula vibovu na visivyotosha kwa mfungwa. Ukosefu wa maji na kama yapo Maji ni machafu. Huduma mbovu za afya. Magonjwa ya ngozi na msongo wa Mawazo kwa baadhi ya wafungwa .

Kuingiliana kinyume na maumbile. Na baadhi ya matatizo yanayowakabili wafungwa wanawake.
Astaghufurlilah!!!
 
Ushasema inashindana. Qatar kuna slavery, watu ishirini kwenye nyumba.
Halafu, lifestyle ya Qatar kulinganisha na western countries ipo too medievel na kama una career kwenye technologies other than oil and gas hakuna competitive industries na hakuna career development through training facilities na research facilities.
Thats not an expat dream destination at all!
Ni wa-bangladesh na Phillipinos kama slaves. I have been to Doha, ni uswahili tu kama bongo.
Man, hakuna anayekulazimisha kuishi 20 kwenye nyumba moja... isitoshe, hao unaosema wewe ni cheap labors mostly from East Asia na wanafanya hivyo kwa ajili ya ku-serve accomodation cost! Na hiyo inatumika sana Dubai ukilinganisha na Qatar though, kutokana na maandalizi ya Kombe la Dunia, hivi sasa na kwenyewe vibarua wametapakaa sana!!!

Kuilinganisha Doha na Bongo ni kiroja cha mwaka!
 
Man, hakuna anayekulazimisha kuishi 20 kwenye nyumba moja... isitoshe, hao unaosema wewe ni cheap labors mostly from East Asia na wanafanya hivyo kwa ajili ya ku-serve accomodation cost! Na hiyo inatumika sana Dubai ukilinganisha na Qatar though, kutokana na maandalizi ya Kombe la Dunia, hivi sasa na kwenyewe vibarua wametapakaa sana!!!

Kuilinganisha Doha na Bongo ni kiroja cha mwaka!
Haha .. hakuna aliyelinganisha Doha na Bongo. Ila Qatar siyo nchi inayolipa vizuri wafanyakazi wake. Tusiangalie kila kitu from the third world angle. Qatar doesn't even have a big expat base kwa sababu hakuna diversity kwenye industry na technology hata kuvutia expats wa maana.
Boston has a bit less than 3/4 million people. Na ina GDP ya almost 400bn$
San Fransisco 1 million, GDP yake ni almost half a trillion$. Median salary ya San Fransisco ni almost 95,000$ a year.Doha ina median salary ya 11,000$. Range ya mshahara Doha ni 350,000 rials for Construction project manager mpaka 5],000 rials for a beautician. Thats not the case kwa sehemu kama silicon valley or even "The valley" if you know what I mean.
 
Kuna mzungu anatokea kragero Norway alikua vacation bongo mwaka huu, hobby yake n kusafiri anakwambia haitaji permanently job huko Norway kwasababu most of his time anakua anasafiri so kazi yake kubwa ni waiter mbele akipiga kazi serious miez 3 ana save pesa ya kusafiri miezi 6 Africa na Caribbean countries bila tatizo.


P.A.Y.E ni 45%

Education is free
Unachangia hela kidogo kwa ajiri ya registration chuon.
 
wakuu tunaomba na nondo za jinsi ya kufika huko,na mambo ya ubaguz yapoje huko?
Jamaa sio wabaguzi ila hawako social kama bongo sijui kusalimia bila mpangilio au kupigiana simu et nakuja kukupa hi wakati hamkupanga kukutana.
 
Kuna mzungu anatokea kragero Norway alikua vacation bongo mwaka huu, hobby yake n kusafiri anakwambia haitaji permanently job huko Norway kwasababu most of his time anakua anasafiri so kazi yake kubwa ni waiter mbele akipiga kazi serious miez 3 ana save pesa ya kusafiri miezi 6 Africa na Caribbean countries bila tatizo.


P.A.Y.E ni 45%

Education is free
Unachangia hela kidogo kwa ajiri ya registration chuon.
Jamaa wanalipa hela kwa wafanyakazi nzuri sana kunakua hakuna gepuuuu kubwa sana kama huku kwetu sijui upokee mshahara wa Mil. 40 mwingine lak 2.
 
Magereza ya huku bongo ukifungwa tu wanakutafuna ule mtandao pendwa
 
Wapolish walikuwa wanakwenda kuiba Norway ili wafungwe,kwani akifungwa mwaka mafao yake atakayopata akirudi kwao tajiri..
Hao wapolish ni wangese sana, they are very closed minded. Afu racist sana.

Nmekaa na baadhi ya wazungu katika volunteering org. Hakuna watu poa Kama wafaransa na scanavia people; Swedish na Norwegian wapo poa sana.

Eastern Europe ndo kwa kifala hakuna maisha afu wabaguzi kinoma
 
Good thing you are just saying.
If you were "Just reading" may be you'll find that it's 895 Americans compared to 502 Norwegians.
But 502 Norwegians is a huge number, it's almost one in every 10,000 Norwegians moving to US in a year!
US has 80 times more people than Norway for you to even see the effects of 900 people?
C'mon bruh! Lets face it, Norway isn't the favorite destination for Americans. South America is.
 
C'mon bruh! Lets face it, Norway isn't the favorite destination for Americans. South America is.

Duh,
unajua niliposoma hiyo comment yako kwanza nimeghadhabika. Nikajiuliza kuna Mmarekani gani anataka kwenda kuishi Latin america.

Halafu nikapata wazo, nikawauliza wamarekani wachache nilionao karibu hapa.
Research question yang ikawa: If you had the option to live in any South American Country OR any of the Scandinavian countries, which one would you choose?

Kati ya Wamarekani 8 niliowauliza, 6 walisema South America (huku mmoja akiwa specific kabisa akasema Chile), na wawili tu walisema Scandinavian country.


Majibu yao yamenishangaza na kunitatiza mimi kama Mtanzania na Muafrika. Sikuelewa kwa nini Mmarekani angependa kuishi Latin America akaacha Norway kwa mfano. Sababu zao zilikuwa nyingi na tofauti (labda sababu ambayo ilikuwa common kwa wote ni WEATHER - latin America has the perfect weather na haina mantiki kutoka say Minnesota kwenye snow mpaka April ukahamie Finland).

Katika watu hao 8, niliwauliza watatu (03) kama option ingekuwa NCHI YOYOTE AFRIKA au NCHI YOYOTE YA SCANDINAVIA...naamini unajua jibu lao.

Ndipo nikawaza kuwa sisi tunabishana kwa kuwa wote ni Waafrika, na tunaangalia 'preferences' za wamarekani kwa macho yetu, kwa vile vitu ambavyo sisi tunaviona vizuri kwetu.

Conclusion yangu kwa sasa ni hii;
- Kwa Muafrika ambaye mpaka karne hii hajavuka hata hatua ya kwanza ya demokrasia, ambaye huduma kwa jamii ni kwa hisani ya serikali na sio kwamba ni haki yake, ambaye amekua akiona rushwa kila mahali, ananyanyaswa na watumishi wa umma regardless position zao..Mtanzania huyo kwake kuwa mfungwa Norway ni afadhali kuliko kuwa mtu huru Tanzania.

- Nadhani tutakubaliana kuwa Marekani sio the IDEAL country. Kuna mambo mengi wangetamani kuwa kama hizo ulizoziita 'socialist Europe' (hili jina wamepewa na Wamarekani maana wao wenyewe ukiwauliza hawajioni ni socialist hata kidogo but anyway).

- Kuna middle ground ambayo nchi kama yetu tungekuwa serious tungelenga kuifikia. Middle ground between Socialist Europe na Capitalist America. Sisi ni taifa changa (kwa kulinganisha na Marekani). Hatuna system ambayo ipo so cemented kwamba inakuwa ngumu kubadilika. Tunayo nafasi kama viongozi wetu (au niseme wanasiasa ili kujumuisha vyama vyote) wasingekuwa wabinafsi kuunda katiba ambayo itakuwa a mix ya hizo two sides. Katiba ambayo inaweka misingi (systems) ya uongozi wa nchi yenye kutoa fursa sawa kwa capitalism na kutoa fursa kwa serikali kuhakikisha huduma muhimu zinapatikana kwa watu wote regardless hali yake ya kiuchumi (kama hizo socialist countries). Katiba ambayo haitakuwa na extreme freedoms mpaka inakuwa ngumu ku-control ustaarabu wa watu (Gandhi alisema 'freedom without responsibility is chaos').

Yaani we have the perfect country in Tanzania kuijenga nchi yetu kuelekea huko. Nahisi tatizo ni kuna watu wanaotaka kuiga nchi moja tu. Mimi napendekeza kufanya research hasa ya vile vinavyofanya kazi kwenye nchi hizo zilizoendelea na kongwe (Europe, Asia, Marekani) na kutafuta balance. Kufanya utafiti hasa ya sheria ambazo zimekuwa mwiba kwao (hapa naandika nikiwaza gun laws/second amendment) na kusema sisi tuna uhuru wa kuandika msingi mpya, je tunaichukuaje hii concept na kuiboresha?

Mimi sidhani kama suala la katiba ni la mwaka mmoja la sivyo litafanywa kisiasa na tutapata katiba ya chama kimoja. Kwa mawazo yangu, hata kabla hatujafika huko, hawa wanafunzi wetu wanaosoma sheria wawe encouraged kufanya utafiti (hasa wa mrengo wa compare and contrast - tena kwa specific vifungu) maana ni kutoka katika maandiko hayo tutakuja kufanya mchujo wa mwisho.

Pili ni kuwahimiza wananchi, kwanza, kujishughulisha na maendeleo ya maeneo yao na pili, kuzoeshwa kuwa huru kutoa maoni (na hatimaye kuufanya mfumo rasmi wa uendeshwaji wa nchi). Mtu asiogope kutoa maoni, mtu asibezwe kwa maoni yake. Kuipitia hayo maoni kuanzia ngazi za nyumba kumi, kata, kijiji na kuendelea tutajikuta na yale common maoni yaliyosemwa na wengi na yale machache pia wakati wa kuunda sheria kuu kuangalia jinsi gani walioyatoa watalindwa (au watakuwa incorporated). Hili si suala la kamati sijui ya maoni ya katiba. Ni mchakato wa muda mrefu lakini ni lazima uwe na kiongozi ambaye ataruhusu haya yatokee. Baadaye itafika mahali nasi tutakuwa kama hawa Wamarekani na Wanorway tunaotamani kwenda kwenye magereza yao. Wananchi watakuwa huru, watatamani, watashiriki kwenye maendeleo ya nchi. Wananchi watajiona wana amani kutoa maoni yao bila kuogopa ku...

Tutakuwa na uongozi wa wazi, wa haki, wa uwajibikaji, wa kutokuogopana na kutishana, wa kuheshimiana, wa kuhshimu sheria (rule of law) na demokrasia (democracy as we will decide to define it - sio demokrasia kwa kumuiga Mmarekani au demokrasia kwa kumuiga Mchina...we find the balance, we define our own), ambao viongozi wetu na watumishi wote wa umma watatambua kuwa wao ni 'stewards' tu wa muda wa rasilimali za wananchi.

Ninadhani hii ndiyo Marekani/South America/Norway ambayo tunaiwaza tunapobishana hapa. Inawezekana kujengwa kwenye nchi yetu.
 
Back
Top Bottom