Flow ya discussion yangu ni simple.
Uli-quote jibu langu kwa mmoja wa wachangiaji. Ulipojibu ukajaribu kunieleza mleta mada anaongelea nini. Nikakubaliana na wewe huku nikisisitiza kwanini nilijibu kama ulivyoni-quote.
Kuhusu ni Mmarekani gani nilimuuliza. Sasa mjomba nikitaja jina la Duwane Hickmon utabisha? I can just come up with any name.
Kuhusu statistics, angalia tu composition ya Us citizens (non-military) in Norway(2014) ilikuwa arround 8,600 [
"Innvandrere og norskfødte med innvandrerforeldre".
Statistics Norway (in Norwegian)].
Pamoja na kwamba US citizens wakitaka kuhamia Norway, they can easily do it. But they chose not to.
If that doesn't mean anything let me know nitakupa stats nyingine.