Nadhani tunatofautiana nini hasa kila mmoja analenga!
HUENDA watu wengi duniani wanapenda kuishi US kuliko Norway kutokana na umaarufu mkubwa wa US!
Bila shaka wengi wanatamani kufika Los Angeles au New York bila kuisahau DC kuliko wanavyoitamani Oslo au Bergen!
Hata hivyo, ninachosema mimi sio watu kupenda bali nazungumzia general welfare kati ya US na Norway!!
Man, Norway ipo juu! Na kama nilivyosema, Norway inabebwa sana na idadi ndogo ya watu huku wakiwa na utajiri mkubwa!!
Kinachoisumbua US ni kama China!
Pamoja na utajiri mkubwa wa US, lakini ku-manage a welfare of more than 300M si kazi ndogo!! Miongoni mwao lazima utakuwa na malaki ya makapi wenye umaskini mkubwa; jambo ambalo ni very minimal kwa nchi kama Norway!
Same to China!! Pamoja na kwamba wanakuja sana kasi lakini China kufikia US welfare labda miaka 30 ijayo manake na wenyewe ku-manage a welfare of more than 1B population, sio jambo la kitoto!