TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,202
- 25,378
Alafu izo nondo zinakusaidia nini?endelea kushusha nondo
Alafu izo nondo zinakusaidia nini?endelea kushusha nondo
Umasikini unafanya watu wawe na roho mbaya,wazungu wa Eastern Europe bado masikini wengi wao wanakimbilia western europe tangu nchi zao kujiunga na European Union(EU)..Hao wapolish ni wangese sana, they are very closed minded. Afu racist sana.
Nmekaa na baadhi ya wazungu katika volunteering org. Hakuna watu poa Kama wafaransa na scanavia people; Swedish na Norwegian wapo poa sana.
Eastern Europe ndo kwa kifala hakuna maisha afu wabaguzi kinoma
Definitely trueUmasikini unafanya watu wawe na roho mbaya,wazungu wa Eastern Europe bado masikini wengi wao wanakimilia western europe tangu nchi zao kujiunga na European Union(EU)..
Uk wamepiga kura kujitoa kwenye EU sababu kubwa ilikuwa ni wahamiaji kutoka Eastern Europe,Wapolish wao walijiona wameshafika walianza hata kwabagua wazawa weusi wa kingereza
They take away their freedom, but they dont take their life.hiyo ni jela norwayView attachment 769724
Halafu huyu mfungwa kahukumiwa mwaka mmoja kwa uuzaji wa dawa za kulevya,Tanzania kijiko kimoja cha dawa za kulevya unafunwa miaka 30,kule Mwanza kuna mtanzania alifungwa maisha kwasababu alikamatwa na mirungi...They take away their freedom, but they dont take their life.
Nimetizama nimestaajabu, drug traffickin kala kifungo cha mwaka mmoja, huku mwizi wa kuku mwaka mmoja na nusu, hakimu anasema kabisa "iwe funzo na onyo kwa watu wenye tabia kama yako"Halafu huyu mfungwa kahukumiwa mwaka mmoja kwa uuzaji wa dawa za kulevya,Tanzania kijiko kimoja cha dawa za kulevya unafunwa miaka 30,kule Mwanza kuna mtanzania alifungwa maisha kwasababu alikamatwa na mirungi...
Wazungu wanaziita nchi za Afrika ni nchi za Dunia ya Tatu,Norway ni mfano mzuri wa dunia ya kwanza,Tanzania ni mfano mzuri wa dunia ya tatu..
Ndio maana wanatwita dunia ya tatu,tinaishi kama waliyokuwa wakiishi enzi za "cowboys"😀Nimetizama nimestaajabu, drug traffickin kala kifungo cha mwaka mmoja, huku mwizi wa kuku mwaka mmoja na nusu, hakimu anasema kabisa "iwe funzo na onyo kwa watu wenye tabia kama yako"
sema kumezubaa na ukimwi unamaliza watu kuleVijiji safi kabisa hivyo
Wakati nikiwa huko kulikuwa na kampeni ya kuhamasisha watu wazae, ninakumbuka kipindi hicho walikuwa wanasema ukizaa mtoto wa tatu serikali itamgharamia kwa kila kitu(hawa jamaa uzazi wao ulikuwa mtoto mmoja au wawili tu). Vipi hali ikoje kwa sasa?Jamaa sio wabaguzi ila hawako social kama bongo sijui kusalimia bila mpangilio au kupigiana simu et nakuja kukupa hi wakati hamkupanga kukutana.
Hadi leo mkuu wanahimizwa wazae ila wagumu kuzaa sijui kwnn?Wakati nikiwa huko kulikuwa na kampeni ya kuhamasisha watu wazae, ninakumbuka kipindi hicho walikuwa wanasema ukizaa mtoto wa tatu serikali itamgharamia kwa kila kitu(hawa jamaa uzazi wao ulikuwa mtoto mmoja au wawili tu). Vipi hali ikoje kwa sasa?
kwann usingetafuta Demu umzalishe?Wakati nikiwa huko kulikuwa na kampeni ya kuhamasisha watu wazae, ninakumbuka kipindi hicho walikuwa wanasema ukizaa mtoto wa tatu serikali itamgharamia kwa kila kitu(hawa jamaa uzazi wao ulikuwa mtoto mmoja au wawili tu). Vipi hali ikoje kwa sasa?
Muda niliokaa huko haukuwa rafiki kwa yote hayo, ila kwa tabia ya wale hawapapatikii kabisa wakuja. Oslo ndio sehemu unaweza kukuta mwanamme wa rangi tofauti ana mahusiano na demu wa kiNorway, sehemu nyingine ni vigumu sana. Mdau GREGO anaweza kutupa update kwa sasa.kwann usingetafuta Demu umzalishe?
Kako juu ya Sweden ,kipindi nakaa Hedemora nilikuwa nakatembelea mnoo,hako ka luxembourg huwa nakataman basi tu uwezo..
Kama wewe ni domo zege ulitarajia miujiza gani!!?Muda niliokaa huko haukuwa rafiki kwa yote hayo, ila kwa tabia ya wale hawapapatikii kabisa wakuja. Oslo ndio sehemu unaweza kukuta mwanamme wa rangi tofauti ana mahusiano na demu wa kiNorway, sehemu nyingine ni vigumu sana. Mdau GREGO anaweza kutupa update kwa sasa.

Sawa na wafanye vyovyote watakavyo kwasababu yapo juu ya uwezo wao, sisi hatuna uwezo wa kuhoji chochote kwasababu hatupo huru japo tunaaminishwa kwamba tupo huru.Kawaida ukaenda police ni kwamba anaewahi kutoa taarifa ndio mlalamikajii, sasa wao ndio watakuwahi
Duh...!! Haya mkuu, umeshinda.Kama wewe ni domo zege ulitarajia miujiza gani!!?![]()
nikihitaji kukafikia mkuu nafanyaje..mwaga madiniKako juu ya Sweden ,kipindi nakaa Hedemora nilikuwa nakatembelea mnoo,