Maisha ya Norway yapoje?

Maisha ya Norway yapoje?

Nimekupa source kwenye mabano, unajua kusoma? Wewe unafikiri nimezitoa wapi? Kichwani au makalioni?
Halafu kuhusu US citizen kuingia Norway, wewe unaweza kuingia Norway bila Visa?
Onyesha ulivyokokotoa hiyo idadi ya Wamarekanin sababu hiyo idadi si sahihi. Halafu useme urahisi wa Wamarekani kuhamia Norway unakujaje? Mimi naingia bila visa ndiyo. Na Nimeishi Norway 18 years. How about that?
 
Ndiyo maana nakuuliza, umesoma nini nimeweka kwenye brackets? Thats my source.
Haya, unaingia sasa hivi bila visa, what about the first time? Mmarekani haihitaji visa kukaa Norway miezi mitatu. Anahitaji passport yake tu, from there anaweza kuoa au kuolewa, kutafuta kazi etc... na finally kuhamia kabisa. Je, hiyo ni rahisi au siyo rahisi kulinganisha na mtanzania?
We vipi?
 
Norway ni nchi moja iliyo na maisha standard na bora kabisa kwa wanachi wake wanaokadriwa kuwa Mil. 5 almost sawa na Dar. Jiji/Manispaa yenye watu wengi sana ni Trondheim wanasema wako laki 3 hii inasababishwa na wanafunzi.

Rasilimali: Ni nchi tajiri sana kwa sababu ya mafuta na gesi waliyonayo, Kwa maelezo yao hadi leo hawajaanza kutumia hela za mafuta na gesi. Wanasema wanaweka kwa ajili ya Future generation maana wao hawataona resource ila wafaidi hela basi.

Afya: Kila mwananchi wa Norway ana Daktari wake, na ukiugua inabidi uende huko alipo (Na huwa sio mbali na makazi yako). Wazee wana vituo vyao wanavyotunzwa so hakuna kusumbuana kwamba mzazi anaomba hela sijui hajala hawana hayo. Kwanza Mtoto akizaliwa tu anafunguliwa akaunti na kuna kiasi cha fedha anapewa kila mwezi akifikisha miaka 16 if not 18 anazichukua so unakuta ni Don.

Miundombinu: Wana barabara bora sana hawa jamaa ndege, Treni. Wana kampuni za mabus kama hizi za DART kwa mji niliokaa wanaita AtB zinatoa huduma muda wote bila usumbufu, kuna bus za kupeleka watu Airport tu hata ukiwa mmoja utapelekwa.

Watu: Wanorsk (Wanoshik) sio watu wa kujichanganya sana, anaweza kuingia kwenye bus uko mwenyewe kwenye seat 2 ila asikae akasimama au akatafuta sehem ambayo hakuna mtu akakaa. wanaheshim sana Privacy ya Mtu.
Ila huwezi kujua nani tajiri nani maskini, na wanapenda sana kutumia usafiri wa baiskeli.

Elimu: Hawa jamaa Elimu kwao ni kama bure maana unachangia hela kama lak na nusu ya bongo (Appr.) ila unawekewa kama elf 90 ya kuprint. ukiingia University mara nyingi wanasoma miaka mitano mtu ukitoka unatoka na Masters kabisa.

All in All hisi nchi za Scandinavia sio wenzetu kabisaaa
 
Maisha yao ni magumu
all I need is right here in Africa I love u Africa
bora niendelee kukaa huku kijiji cha SANTILIA
napata chakula asili kuku wa kienyeji safi maziwa amaizing matunda hewa safi mapoli ya kuwinda na kutembea .....
watu weusi hatujui uzuri wa bara letu na hicho ndio kilema chetu
siku zote
Acha kuzuga watu ww
 
wakuu tunaomba na nondo za jinsi ya kufika huko,na mambo ya ubaguz yapoje huko?
 
Ndiyo maana nakuuliza, umesoma nini nimeweka kwenye brackets? Thats my source.
Haya, unaingia sasa hivi bila visa, what about the first time? Mmarekani haihitaji visa kukaa Norway miezi mitatu. Anahitaji passport yake tu, from there anaweza kuoa au kuolewa, kutafuta kazi etc... na finally kuhamia kabisa. Je, hiyo ni rahisi au siyo rahisi kulinganisha na mtanzania?
We vipi?

Kuna tofauti kubwa kati ya fantasy na reality or real life ukiwa mgeni nchi ya watu. Tourist visa ibadilishwe kuwa work permit before end of 90 days siyo jambo rahisi kama unavyofikiri: that much I know for a fact. Bora häta Watanzania maana kawaida wanapewa 12-months permit kwa hiyo wana muda wa kujipanga.
 
aisee nimeshangaa jamaa hawezi kutumia bidhaa ambayo haina kodi kweli wenzetu wameendelea sana huku kwetu tungejaa kwenye free duty
Kama kule maduka ya jeshi na magereza
 
Kuna tofauti kubwa kati ya fantasy na reality or real life ukiwa mgeni nchi ya watu. Tourist visa ibadilishwe kuwa work permit before end of 90 days siyo jambo rahisi kama unavyofikiri: that much I know for a fact. Bora häta Watanzania maana kawaida wanapewa 12-months permit kwa hiyo wana muda wa kujipanga.
Fantasy?
Kwani mtu kuhamia nchi nyingine lazima uwe na work permit? Mmarekani anaweza kwenda Norway akiamua leo asubuhi na akiwa na fedha zake. Thats a fact!
That part by itself eases or gives him/her an advantage over Nationals who needs a Schengen/Norway visa to go to Norway.
Let everything else constant, kuingia kwao Norway bila kuomba visa eases their immigration to Norway.
But forget that, wewe umeanza kwa kunikashifu kuwa nimetoa data za uongo sasa sahivi unasemaje? Hujioni kuwa ni mkurukaji unaetaka kupinga vitu obvious?
Na mimi nimekaa States tangu nipo teenager, tena mitaani na ninawajua hawa watu hawapendi hizo nchi, hawapendi lifestyle ya hizo nchi. People here love guns, strip clubs, big trucks, weed, rock & hip hop concerts/festivals etc....
They love that kind of life! ingawa pia ni watu wa dini mno. Its hard kumuona mmarekani akitaka kuhamia Norway. Believe me on that.
 
Data zako siyo sahihi. Kama ni sahihi ungeonyesha data results table, diagram or whatever. Kwanini umeshindwa kufanya hilo?

Wewe umeishi Norway au umekaa kwenye kiti hapo ki apartment kako Oklahoma au sijui Alabama unajifanya expert wa nchi ambayo umeiona kwenye ramani tu. Unajua cost of living ya Norway? Wamarekani wangapi wanaweza ku afford a one week holiday trip, achilia mbali 90 days? Upo too presumptive, understandably kwa vitu ambavyo huna experience navyo.

Ile inaitwa 90-days "tourist visa", siyo immigrant visa au greencard. Mtu huruhusiwi kufanya kazi yoyote kipindi hicho. Kazi inakuja kama utapendelea kuendelea kuishi kule baada ya 90 days. Sasa hapo hakuna urahisi. Umezoea Marekani watu wanaingia mitini au ku-overstay visas, na wanaishi miaka hata 30 bila tatizo.
 
Maisha yao ni magumu
all I need is right here in Africa I love u Africa
bora niendelee kukaa huku kijiji cha SANTILIA
napata chakula asili kuku wa kienyeji safi maziwa amaizing matunda hewa safi mapoli ya kuwinda na kutembea .....
watu weusi hatujui uzuri wa bara letu na hicho ndio kilema chetu
siku zote
santilya,JoJo,ilembo,shizuvya,iwindi,Izuo,iyunga mapinduzi,masoko,iwiji,maganjo njia panda
 
upload_2018-5-8_10-47-27.png

upload_2018-5-8_10-54-37.png

Hii table unaweza kuipata kwenye link hii 2018-03-05 ambayo ni website ya sTATISTICS nORWAY, inayotoa Official Norway statistics.
Sitoi data kichwani kama wewe, na hii table ni ndefu ila mimi pamoja na kujikimu maisha yangu huku, nina muda mwingi na wa kutosha kujisomea, kuandika, kucheza etc... so, siyo mtaalam but I can read bruh! And I got a lotta time too!
Get youself some knowledge from the statistics bureau of the country that you claim to have lived for 18yrs .... thought you'd be able to access these kinds of information easily.
Wewe unauliza wamarekani wangapi wanaweza kuafford tourist visa Norway?
I'm done!!
 
Attachments

  • upload_2018-5-8_10-49-57.png
    upload_2018-5-8_10-49-57.png
    13.9 KB · Views: 50
  • upload_2018-5-8_10-53-48.png
    upload_2018-5-8_10-53-48.png
    15 KB · Views: 55
  • upload_2018-5-8_10-54-22.png
    upload_2018-5-8_10-54-22.png
    15 KB · Views: 48
Back
Top Bottom