britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,181
- 41,657
Nadhani kwa bongo hakuna ubalozi wa Luxembourg, ila visa yake unapata kupitia sverige embassynikihitaji kukafikia mkuu nafanyaje..mwaga madini
Nadhani kwa bongo hakuna ubalozi wa Luxembourg, ila visa yake unapata kupitia sverige embassynikihitaji kukafikia mkuu nafanyaje..mwaga madini
Muda niliokaa huko haukuwa rafiki kwa yote hayo, ila kwa tabia ya wale hawapapatikii kabisa wakuja. Oslo ndio sehemu unaweza kukuta mwanamme wa rangi tofauti ana mahusiano na demu wa kiNorway, sehemu nyingine ni vigumu sana. Mdau GREGO anaweza kutupa update kwa sasa.
Hahahaha huko kuna siku wanapewa muda unaenda kuktana na mke wako au mchepuko mkuuKwani huko jela za Norway wanatoa papuchi na mitulinga
Maana kwangu mimi vitu hivyo viwili ndio vinanifanya nijione huru na mwenye raha hapa duniani
mkuu hiyo sverige embassy iko wapi? one day nitatoboa hukoNadhani kwa bongo hakuna ubalozi wa Luxembourg, ila visa yake unapata kupitia sverige embassy
mkuu hiyo sverige embassy iko wapi? one day nitatoboa huko
HahaaaaaMiye naswali naona mnapasifia sana uko Norway je, uko Norway wao wana panya wa kunusa mabomu kama sisi Tanzania.

dah wwgumu kumbeMuda niliokaa huko haukuwa rafiki kwa yote hayo, ila kwa tabia ya wale hawapapatikii kabisa wakuja. Oslo ndio sehemu unaweza kukuta mwanamme wa rangi tofauti ana mahusiano na demu wa kiNorway, sehemu nyingine ni vigumu sana. Mdau GREGO anaweza kutupa update kwa sasa.

Kweli kabisa mkuu hawana shobo afu wale wa kule wanawezana wao kwa wao labda upate jimama (38+) lililochoka ila videm vidogo vidogo (18 - 30) ni issue.
In short wanapendana wao kwa wao
Makaratasi yanapatikana Kwa njia ipi?Tru dat. Binafsi niliamua kuacha shobo na wasichana wa kizungu kule. Kutomba hadi nije livu Bongo. Halafu anakuja mtu anasema upäte makaratasi kwa kuoa Mnorway ndani ya miezi 3.
Sverige ni kisweed yaan Swedish embassymkuu hiyo sverige embassy iko wapi? one day nitatoboa huko
Makaratasi ni shida. Utaumbuka kama ukitegemea mzunguMakaratasi yanapatikana Kwa njia ipi?