Maisha ya mtz kabla na baana ya kustaafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ya mtz kabla na baana ya kustaafu

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Jun 5, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MAISHA YA WATANZANIA WALIO WENGI HUWA BADO NI KITENDAWILI KIGUMU KUKITEGUA. UKIWA HUNA KAZI, HALI MBAYA KULIKO KAWAIDA NA HATA UKIPATA KAZI NA YENYE CHEO ANGALAU CHA KURIDHISHA, BADO UKISTAAFU HALI YAKO INAREJEA KUWA MBAYA ZAIDI KULIKO WAKATI AMBAPO ULIKUWA HUNA KAZI KABISA...


  KWA WATUMISHI AMBAO WALIKUWA WAADILIFU WAKATI WAKIWA KAZINI NA AMBAO WAMEITUMIKIA NCHI KWA JUHUDI NA MOYO WA KUJITUMA, SIKU WAKISTAAFU, HALI ZAO KIMAISHA ZINABADILIKA KABISA KANA KWAMBA HAWAKUWAHI KABISA KULITUMIKIA TAIFA KATIKA MAISHA YAO. HALI HII IMEBADILI MWENENDO WA KUJITUMA NA KUFANYA BAADHI YETU KATIKA KIZAZI HIKI NA PENGINE HATA KIJACHO KUANZA KUPOTEZA UADILIFU KABISA HUKO MAKAZINI NA KUANZA KUFIKIRIA ZAIDI KUJIJENGA BINAFSI KULIKO KUTUMIKA KWA MANUFAA YA UMMA KUANZIA TAREHE YA KWANZA YA KUAJIRIWA.  [​IMG]

  Maafande wakuu wastaafu wakiwa katika sherehe za kitaifa katika uwanja wa Taifa enzi za Rais wa awamu ya tatu Mh. Benjamin Mkapa.Wanaoonekana kwa karibu kutoka kushoto ni aliyekuwa CPF Jen. Mirisho Sarakikya (1964-1972),Jen. Mwita Kiaro (1988-1994), Jen. Mboma (1994-2000),David Msuguri na Luteni Kanali mstaafu Jakaya Kikwete (Mkulu wa nchi sasa)..MICHUZI.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  JK akimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kiaro aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza leo asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Mwanza kwa ziara fupi ya siku mbili kukagua shughuli za maendeleo ikiwemo kukagua ujenzi wa Barabara ya Usagara hadi Geita.((C)MICHUZI)
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Unazungumzia wastaafu Gani, Mkuu? Kama wa nyerere sawa sasa hivi mtu alistaafu anaweza kuvuta mpaka 200 million acha mchezo bwana, cheki fomula:

  <table border="0"><tbody> <tr> <td>
  </td> <td>An employee attains his normal retirement age (60 years) after he has completed 30 years of pensionable service.</td></tr> <tr> <td> (b)</td> <td>His final salary is E40,000.
  If the employee decides to take a quarter of his pension in cash at retirement (see paragraph 2.5) he will receive the following benefits:
  </td></tr> <tr> <td> </td> <td> (i) He will receive a lump sum equal to - 2% x E40,000 x 30 years x 25% x 15 = E90,000

  (ii) He will then receive a reduced pension equal to -
  2% x E40,000 x 30 years x 75% = E18,000 per year = E1,500 per month


  </td></tr></tbody></table>http://www.pspf.co.sz/index.
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Jun 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Jamaa kazungumza wastaafu wa Tanzania, wewe unazungumzia wastaafu wa Swaziland!!! Vipi?
   
 4. kapug

  kapug Member

  #4
  Jun 6, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wastaafu ni wastaafu tu!haijalishi wakipindi kipi cha utawala,wote choka mbayaaa na wadau ikumbukwe kwanza waliopo makazini leo hii ndio waliojionea dhiki hii ya wastaafu,hivyo lazima wajiadhali kwa kujithamini wao kwanza kuliko kazi.
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Jun 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Mzee, maslahi ya wastaafu yanategemea sana pension system ya nchi husika; kwa hiyo huwezi kuwalingasisha wastaafu wa Tanzania na wale wastaafu wa Swaziland. Tanzania ni nchi ambayo serikali yetu haina jambo lolote zuri, kila kitu chetu ni shaglabaghla tu, yakiwamo mslahi ya wastaafu wetu. Ndiyo maana watu wengi hawataki kustaafu.
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Sorry, nikosea kuvinjari
   
 7. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa ujumla hata katika mazingira ya kawaida, yaonyesha fedha anazolipwa mtu kama kiinua mgongo baada ya kutumika kwa miaka zaidi ya 55 ni kama kwenda kumfukia kaburini kwani wakati wote wa maisha yake ya utumishi, uduchu wa mshahara na maslahi mengine vilishindwa kumpanua mawazo hata ya kuwekeza kwenye maeneo yenye tija kwani kwa mwendo wa familia nyingi, mtu akiwa na kazi, majukumu yote mazito uhamia kwake kila kukicha..hawezi kumudu kutokana na uduchu wa maslahi kazini.

  Hivyo apatapo malipo yake ya mwisho ya hitimisho la ajira (kiinua mgongo) ndipo anapoanza kufikiria kununua kiwanja, kujenga, kusomesha watoto nk (wengine ndipo anataka angalau apumue kwa kula raha kidogo kwa kuvuta mke mpya)... Wakati huo huo, matatzio mengine ya kiafya yatokanayo na umri ndipo yanaanza hivyo kuhitaji matibabu makubwa. Fedha zote zinaishia kabla hata ya mwaka mmoja. Ukifuatilia kwa makini, unaweza kubaini kuwa wengi wa wastaafu ambao walitoka kazini kwa mujibu wa umri "compulsory retirement" huwa hawaishi zaidi ya miaka kumi,Mungu anawapumzisha forever kutokana na shida na mihangaiko ya mitaani ambayo huwafanya wachoke mapema kiafya.
   
 8. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dakika za majeruhi .
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ngoshwe,
  Umecheki suti ya Jen. Mboma?
   
 10. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kaka acha kabisa bana... Sijui
  kama unaweza kuivaa hiyo..ni kombati staili.6 batan

  HUYO YUPO NJEMA..

  jenerali robert mboma aendelea kuuyeketa TPDC

  September 15, 2009

  <SCRIPT type=text/javascript><!--google_ad_client = "pub-0943980229894788";//jn links 468x15google_ad_slot = "3186257521";google_ad_width = 468;google_ad_height = 15;//--></SCRIPT><SCRIPT type=text/javascript src="http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/show_ads.js"></SCRIPT><SCRIPT src="http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/expansion_embed.js"></SCRIPT><SCRIPT src="http://googleads.g.doubleclick.net/pagead/test_domain.js"></SCRIPT><SCRIPT src="http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/render_ads.js"></SCRIPT><SCRIPT>google_protectAndRun("render_ads.js::google_render_ad", google_handleError, google_render_ad);</SCRIPT><INS style="BORDER-BOTTOM: medium none; POSITION: relative; BORDER-LEFT: medium none; PADDING-BOTTOM: 0px; MARGIN: 0px; PADDING-LEFT: 0px; WIDTH: 468px; PADDING-RIGHT: 0px; DISPLAY: inline-table; HEIGHT: 15px; VISIBILITY: visible; BORDER-TOP: medium none; BORDER-RIGHT: medium none; PADDING-TOP: 0px"><INS style="BORDER-BOTTOM: medium none; POSITION: relative; BORDER-LEFT: medium none; PADDING-BOTTOM: 0px; MARGIN: 0px; PADDING-LEFT: 0px; WIDTH: 468px; PADDING-RIGHT: 0px; DISPLAY: block; HEIGHT: 15px; VISIBILITY: visible; BORDER-TOP: medium none; BORDER-RIGHT: medium none; PADDING-TOP: 0px"><IFRAME style="POSITION: absolute; TOP: 0px; LEFT: 0px" id=google_ads_frame1 height=15 marginHeight=0 src="http://googleads.g.doubleclick.net/pagead/ads?client=ca-pub-0943980229894788&output=html&h=15&slotname=3186257521&w=468&lmt=1275865161&flash=10.0.32.18&url=http%3A%2F%2Fwww.jambonetwork.com%2Fblog%2F%3Fp%3D61314&dt=1275865161629&shv=r20100519&correlator=1275865161684&frm=0&adk=2246047971&ga_vid=1217946504.1275865162&ga_sid=1275865162&ga_hid=1073869326&ga_fc=0&u_tz=60&u_his=3&u_java=1&u_h=768&u_w=1280&u_ah=768&u_aw=1186&u_cd=32&u_nplug=0&u_nmime=0&biw=1182&bih=556&ref=http%3A%2F%2Fwww.google.com.au%2Furl%3Fsa%3Dt%26source%3Dweb%26cd%3D10%26ved%3D0CDwQFjAJ%26url%3Dhttp%253A%252F%252Fwww.jambonetwork.com%252Fblog%252F%253Fp%253D61314%26rct%3Dj%26q%3Drobert%2Bmboma%26ei%3DoCcMTPDdBonu0wTpga1t%26usg%3DAFQjCNGotlWYdhLo6zzFx4Jkjm6o4O38yw&fu=0&ifi=1&dtd=359&xpc=0u7ZhZEstU&p=http%3A//www.jambonetwork.com" frameBorder=0 width=468 allowTransparency name=google_ads_frame marginWidth=0 scrolling=no></IFRAME></INS></INS>


  [​IMG] Jenerali mstaafu Robert Mboma

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemteua tena Jenerali Mstaafu Roberth Mboma kuendelea kuwa Mwenyekiti mpya wa bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Julai mwaka huu hadi Juni 2012.  Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini Alyce Tesha inasema kuwa kufuatia uteuzi huo waziri wa wizara hiyo William Ngeleja amewateua wajumbe tisa katika bodi hiyo.  Wajumbe hao ni Emanuel Ole Naiko ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha uwekezaji, Ngosha Magonya Kamishna wa fedha za nje kutoka wizara ya Fedha na Uchumi, Maduka Kessy Meneja Public Private Partnership kutoka National Development Corporation (NDC), Gosbert Blandes Mbunge wa Karagwe na Mudhihir Mudhihir Mbunge wa Mchinga,.


  Wajumbe wengine ni Faida Bakari Mbunge viti maalum Pemba, Prosper Victus Kamishna Msaidizi wa Mafuta na gesi kutoka wizara ya Nishati na Madini, Mwalimu Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Ujenzi, Nishati na Ardhi (MUNA) Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na William Haji (Mhasibu) ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Air Tanzania Corporation (ATC).
   
Loading...