The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,639
- 16,999
Ni kweli, kadri umri unavyokwenda marafiki wanapingua. Sababu ni:-The older i becomes, the fewer friends i have
Kabisa yaani.Ni kweli, kadri umri unavyokwenda marafiki wanapingua. Sababu ni:-
1. Majukumu na mtawanyiko ktk kutafuta maisha.
2. Vifo vya age mates. Watu wa miaka 60+ unakuta agemates wao wengi washatangulia mbele za haki.
3. Magonjwa. Watu wenye umri mkubwa mara nyingi afya zao hutetereka.
Ndiyo maana kule Ulaya wazee hulelewa kwenye vituo, kwasabb huwa wanakosa hata wakuwasalimia including watoto wao.
Hahhah sasa wale wa mikoani mfano lets say anakaa Busokelo huko huo uwanja unatoka wapi mkuu πππnjoo uwanjani ukutane na wenzako, ni furaha tu,, uyu anavuta sigara , yule anapga energy drink, alafu pembeni wajuba wanapulizaπ,, si lazima ucheze mpira, njoo unione navosakata kabumbu,,
au kacheze draft ukutane na kila aina ya vituko,, utasikia "Hili nakuua kabisa hutoki kenge wewS
sio kweli, happiness starts within yourselfNdio maana una kuta mtu ana kazi ana gari ana cheo lakini analalamika hayupo happy. Hyo yote inasababishwa na watu kuacha kuwa social na kukimbilia kwenye usasa na virtue community watu wana sonono inawatafuna.
Read between the linessio kweli, happiness starts within yourself
hata ka uwe na watu kumi elfu kama huna furaha ndani yako huwezi kua nayo
The only friends that I easily make these days are side chicks, and even them are very temporary as everyone I meet tend to keeps their eyes in my wallet.Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani.
Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majiraniβhakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu.
Ule urafiki wa βbuda niko base, pitaβ umeisha.
Sasa ni βtupange weekendβ lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli.
Sio kwa ubaya. Ni maisha tu yanavyojipanga.
Ile energy ya kukutana kila siku, kukaa hadi usiku, kuzungumza mambo yote ya duniaβimepungua.
Sio kwamba watu hawapendani tena. Ni kwamba priorities zimebadilika.
Ule bestie wa kila siku, sasa mnachat maybe mara moja kwa wiki.
Mkiambiwa mkutane, ni plan ya siku mbili kablaβna bado inaweza ikaghairika. Lakini bado, ukimuona, mnacheka kama zamani.
Connection haijapotea, imebadilika tu.
Na hiyo nayo ni aina fulani ya graceβmazingira yakibadilika lakini moyo ukiendelea kupenda.
upo phase ipi?
The older i get ...my best songThe older i becomes, the fewer friends i have
Chumba kisafi utuli kwa mbali nimekosa kimoja tu πhave fun
"Eti nimekubali yaishe" dahhπππNdivyo ilivyo mi mwenyewe nilikuwa naupenda udogo ila saivi nimekubali yaishe sio mdogo tena.