Maisha ya Hostel siku za Mwanzo Chuo kikuu

2010-12-18_1043.png


Rural Swagga we ni noma mtu wangu. Hii picha inanikumbusha long time sana. Inanikumbusha maisha ya anasa kipindi cha Boom. Cheki watu wanavyojimwaga na misoda penye REDD. Huyo dada ndo kanywa soda na simu kaweka pembeni anajua hakuna wa kuiiba kwan kila mtu keshavuta mkwanja. Usiombe miezi dume iwadie. Ni mtafutano mtu wangu, hiyo simu ingekuwa ishapitiwa siku nyiiiingi! Tupe picha nyingine mkuu.............
 
@ Mopao na Jack mmenichekesha na kunikumbusha mengi nyie watu tunafahamiana sio siri, mnakumbuka yule jamaa alieenda sijui block C akakuta kuku aliyemnunulia demu wake apike wale nakumbuka ilikuwa sku ya J2 jamaa kutoka church akakuta mafupa na jamaa kavaa taulo yake kajitandaza kitandani na nilibaunsa kumpiga hawezi kulia hawezi ikabidi achukue Maliboro aweke kichwani kwa vile jiko lilikuwa na moto bado likayeyusha mnailoni ikaanza kumchoma kichwa

Coloured: Tehe ...tehe.....Ebwanaeeeeee....Hii ni kali mtu wangu. Thanks a lot kwa kuripoti vzr hili tukio. Yaan ntabaki nacheka Xmass yoote..Aiseeeeeeee...Huyo mdada atakuwa ni MAFIA kinoma. Betray ya hivi ni nomaaaaaa....jamaa hatasahau maisha yake yooote nakwambia. Najiuliza jamaa alienda church kufanyaje sipati jibu. Huenda akiwa church aliombea na yule kuku....Daaaa....Napiga picha ya hilo njemba na kitaulo lakini haitoki..inaungua. Ebwana mkuu Ubarikiwe...
 
Hahahaha! Sie Chuoni kwetu DIT hiyo kitu tunaita kupigwa korido maana yake unaranda randa katika korido kwewnda na kurudi Ukicheki mlango umefungwa< Basi ukawakama msemo tu , Leo ntakupiga korido!
 
sitasahau maisha yale............mabibo ni noma.......yaan kila mtu yuko juu

boom likiwekwa uchumba ubatangazwa sana.....likiisha tu.....uchumba unavinjika.......sasa sisi tuliokuwa tunatumia boom vizuri halafu walau mwisho wa mwezi kulikwa na salary inaingia.....mambo yalikuwa liquid sana..........mabinti wanavunja uchumba then anakufata...

kulikuwa na chumba pale blockB cha madem....walikuwa malaya chumba kizima yaani walikuwa wana uwezo wa kuleta mijamaa mule na wanatiwa ..........
chumba chetu kiliangaliana na chao sasa ilikuwa shida balaaaa
 
QUOTE=jackbauer;
mimi nilikuwa member mzuri wa block G


Duh! Block G! Arif kweli good old memories. Umesahau na maarif wa Arusha wakiwa wanacheza Pool!
 
2010-12-18_1043.png


Rural Swagga we ni noma mtu wangu. Hii picha inanikumbusha long time sana. Inanikumbusha maisha ya anasa kipindi cha Boom. Cheki watu wanavyojimwaga na misoda penye REDD. Huyo dada ndo kanywa soda na simu kaweka pembeni anajua hakuna wa kuiiba kwan kila mtu keshavuta mkwanja. Usiombe miezi dume iwadie. Ni mtafutano mtu wangu, hiyo simu ingekuwa ishapitiwa siku nyiiiingi! Tupe picha nyingine mkuu.............

Ngoja nikupatie nyingine kijaaanaaaa!!!
 
Tehtehteh....nimeshindwa kujizuia kucheka aisee. Maana'ke ni kwamba jamaa alimegewa demu'ake...

Pole zake huyo jamaa...

Mkubwa hilo ndio jibu, kwani mmesahau yule jamaa alimfumania demu wake then yule demu kujihami akaita mwizii jamaa akapigwa sana matokeo yake akili zikaruka jamaa akawa kichaa kabisa. Matofali yalimwingia kisawa sawa ya kichwa.

Coloured: Tehe ...tehe.....Ebwanaeeeeee....Hii ni kali mtu wangu. Thanks a lot kwa kuripoti vzr hili tukio. Yaan ntabaki nacheka Xmass yoote..Aiseeeeeeee...Huyo mdada atakuwa ni MAFIA kinoma. Betray ya hivi ni nomaaaaaa....jamaa hatasahau maisha yake yooote nakwambia. Najiuliza jamaa alienda church kufanyaje sipati jibu. Huenda akiwa church aliombea na yule kuku....Daaaa....Napiga picha ya hilo njemba na kitaulo lakini haitoki..inaungua. Ebwana mkuu Ubarikiwe...

Mademu sometimes hawana huruma, yule jamaa alinunua kuku wa kienyeji kamchinja katoa na manyoaya kabisa, kakatakata kaweka kamwachia mtoto apike, kumbe demu lina mmbuzi wake wakaja wakamaliza kabisa......Tulimtania yule jamaa mpaka siku tunamaliza chuo. Jamaa kwa hasira kwa sasa anapiga PHD kwa hasira.

Ngoja nikupatie nyingine kijaaanaaaa!!!

Zikowapi?
 
Mwana me nakumbuka Block E' kuna siku masela walileta machangudoa wakashindwa kuwaingiza kwenye room zao, wakaamua kukamulia Common Room, ilipofika muda wa kudaiana jamaa wakawa kibri, madada wakaanza kupiga mikelele, walioziskia wakazama kuchek machangudoa nao wakajihudumia pia, ilikuwa ni balaa nguo kuchanika.
 
Najaribu kukumbuka number ya chumba changu pale Block C, 2nd floor chumba cha mwisho kabisa upande wa kulia kama unalitazama block kwa mbele.

maisha pale yalikuwa na majaribu yake. hasa wachumba walikuwa wa kumwaga. kama wanyama swala kwenye mbuga ya mikumi.
 
Ilikua noma sana pale hostel..nakumbuka jamaa siku moja amaekuja na dem wote wamelewa..wakalana uroda wote tunashuhudia..amakweli udsm kwa wengine ni kwamba walipitia tu..lakini bado ni sawa na mbumbumbu mwingine yeyote..
 
Hvi vyuo vingne hawana ma2kio ya kuburudsha ka udsm,mbona hawayawek hapa?
 
Dah! Mkirudi kitaa mnaonekana wastaarabu. Kwel ujana maji ya barid, ucku huwez yaoga.
 
Nakumbuka tuna- anza anza pale tope lilikuwa la kutosha , maji shida, block C & A ndio zilikuwa zimekamilika. lakini happiness haikupungua hata kidogo, kwani hata kunji za hapa na pale ziliitishwa katika kulekebisha hari hiyo.
 
Jamaa mmoja aligomea exile,mara jamaa wakaanza ku undress mbele yake,jamaa akakusanya vitabu vyake na kuondoka bila kupenda!
 
Mazee me nilikuwa pale Block C njuka, room tulikuwa tunaishi mamates3, mate1 so ndo akabeba msela mmoja wa mwaka wa 3 Bcom, nayo njemba ikabeba jamaa yake, jamaa walikuwa wanatupiga exile ile mbaya, ili bidi tuitishe kikao na njemba zile kuwalalamikia kuwa tumechoka exile kwa kuwa zilikuwa zinarudisha nyuma maendeleo yetu class. Jamaa walicheka sana wakatuambia sasa nyie njuka mnataka maendeleo gani class, baada ya kikao jamaa walipunguza exile, walipokuwa wanataka kutupiga exile walikuwa wanatuomba na siku nyingine tulikuwa tunawapiga wao.
 
Bros and sists,

Hope mko poa kbs,

Naomba leo tujikumbushe siku za mwanzo vyuoni hasa HOSTEL, mimi nilijiunga na chuo cha UDSM nikitokea mmamndenyi na ucha Mungu wangu na kupangwa pale MABIBO Hostel Block D gorofa ya 2. Nilifurahi sana kujiunga na masomo ya Elimu ya juu na kubahatika kukutana na cream ya nchi nzima, nilikuwa na shauku kubwa ya kujua roommates wangu na kutenegeneza marafiki wapya.

Hali haikuwa kama nilivyotarajia hasa kwenye chumba changu, nilipangwa na watoto wa mujini waliokuwa wanazijua starehe na anasa za dunia. Mimi nilikuwa na poketi money yangu elfu kumi navaa soksi naingiza ndani nafunga raba bendi juu ili isiibwe kwani boom lilikuwa halijatoka na hata Bank a/c nilikuwa sina. Wenzetu walikuwa wanafweza hadi kukodi tax kwenda main campus. Nilipangwa kitanda cha juu kwa vile vya chini vilikuwa vimewahiwa tayari. Nili report siku ya ijumaa nikiwa na uchovu wa kutoka milimani kwetu nikawahi kulala. Ilipofika saa 7 nilisikia miguno kwa chini nikahisi mwenzangu mgonjwa, ila iliambatana na vicheko kucheki vizuri mwenzangu alikuwa ana jimama likubwa liko juu yake(........)

Ikawa ndio mchezo kila siku sasa mimi nilikuwa hata gal friend sina. Nikirudi mchana rum kupunzika nakuta mwingine amerudi na mwanamke na wamenifungia nje tena/exile. Nikavumilia kama mwezi nikashindwa nikakusanya kilicho changu nikaenda kulala chini kwa washikaji main campus at least huko nilipumua sito sahau mabibo hostel .......

Ni mimi tu au na nyie mlinyanyaswa au kunyanyasa wenzenu?

iii.jpg

kwi kwii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom